Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
alisema anataka sherehe yake ifanyike kwa mama muuza pale baresa-Manzese
wakaka mnafagia uwanja na kupanga viti, nimeshafunga turubai.
Heheheeee kweli umemchoka aisee lol
Ila kwa pale hatutapata shida ya watumbuizaji nitacheck ma Madee na MB Doggy na Tip Top waje watupe burudani