Happy Birthday The Finest

Happy Birthday The Finest

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
15,178
Reaction score
14,386
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday The Finest.
 
Mpaka nijue kafikisha miaka kumi na ngapi ndo nimtakie heri kwa kiinglishi.... Adhawaiz atakula heri ya kibantu kama ifuatavyo: Heri ya Siku yako ya kuzaliwa Dogo Fainesti, na karibu sana kwenye safari ya kulijongelea kaburi.
 
Babu hili la kujua kafikisha miaka mingapi sahau hatasema
ila anakaribia mwisho wa ujana kuingia sasa lile rika la baba
Network bado inasearch kujua umri wake
 
3.gif
happy birthday brother....
 
Mpaka nijue kafikisha miaka kumi na ngapi ndo nimtakie heri kwa kiinglishi.... Adhawaiz atakula heri ya kibantu kama ifuatavyo: Heri ya Siku yako ya kuzaliwa Dogo Fainesti, na karibu sana kwenye safari ya kulijongelea kaburi.
Asprin jiandae kupanga meza tu, leo zamu yako
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday "The Finest".......

Nilitaka kushangaa Preta usiwe katika top ten ya waliowahi kujibu uzi huu!!!

Hata hivyo bado wengine watakuja kwa kasi ya kimbunga kuja kumpongeza TF kama akina AshaDii, Lizzy japokuwa sina hakika kama katoka lupango, Kongosho bila kumsahau Afrodance.

Mukuu Asprin mutu ya watu najua umeshamtakia TF happy birthday nijulishee mimi pedeshee wa nyanda za juu kusini nije na kila kitu inayotakiwa katika birthday.

TF longo longo zote kama sitasema HB nitakuwa sijakutendea haki. HB FT wa ukweli, enjoy your day.
 
Mpaka nijue kafikisha miaka kumi na ngapi ndo nimtakie heri kwa kiinglishi.... Adhawaiz atakula heri ya kibantu kama ifuatavyo: Heri ya Siku yako ya kuzaliwa Dogo Fainesti, na karibu sana kwenye safari ya kulijongelea kaburi.

Usimtishe mkuu atashindwa kukata masanga leo kwa kuhofia kalisogelea kaburi japokwa ni ukweli ulio wazi.

TF kanyaga twende baba toa location nishuke na helicopter yangu na full mazaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom