GaijinSiku hizi hata alichokula jirani tunaweza kukijua tukitaka......uwezo huo tunao! [Hatutaki tu...Lol]
Lawyer wa kimataifa klorokwini atahusika kwenye suala tajwa
PearlDuh yani hujiamini?ondoa shaka mpz,alotuma msg hiyo ni Mr.mie akuuuuuuuu nakarangiza masotojo,TF shemeji yangu!shaka ondoa bi dada
naona tf ananibania twende wote tajiri....
Yep afrodenzi yupo very well monitored hapa namchora tu anakatiza sinza makaburini na kiskin tight chake cha buluu kimeandikwa " what u see is too expensive for u" kwenye upajaSiku hizi hata alichokula jirani tunaweza kukijua tukitaka......uwezo huo tunao! [Hatutaki tu...Lol]
Lawyer wa kimataifa klorokwini atahusika kwenye suala tajwa
mnibebe kwenye sreesome? nambieni nijiandae wajameni nisje nikaaibika, nimefanyiwa operesheni wa kiuno juzi tu msije mkanimaliza. Na jana dokta akasema nina kila dalili za kisukariGaijin
dahhhhhh unamuweka klorokwini rohoo juu hapo pa blue..
kabisa yaani hilo swala tunamuhitaji muda si mrefu mahakama tutaingia
hivi unadhani klorokwini anayo kweli ??? au tumbebe tu hivyo hivyo..
Niko na The Finest hapa nampa lunch serena,kaniomba namba yako ya simu,nimpe?Bishanga una makele wewe.. dahhhhh
nimekusikia ulivyokuwa unaniita..
Mzima lakini?
Hopefully nimetimiza agizo lako
Hahaha!! Nyani Ngabu miaka inakimbia fasta mazeeDidn't you just have a birthday not long ago?
Wewe Bishanga mchonganishi kweli wewe...lolThe Finest,kila siku nakwambia uache ushingo feni,ona sasa umelikoroga tena,mama wa watu kajikunja liboquet la nguvu na mashairi ya ukweli kisha we macho mia mia,mwone pua kama la Rejao na domo kama la nitonye!
Hahaha!! Wewe banaa...Umefurahi eh?
Asante Charminggirlhappy b-day to u, happy b-day to u, happy b-day dear Tf happy b-day to u! how old r u now, how old r u now, how old r u now. happy b-day to u u u u u u . . . . .
Bishanga..Niko na The Finest hapa nampa lunch serena,kaniomba namba yako ya simu,nimpe?
Yep afrodenzi yupo very well monitored hapa namchora tu anakatiza sinza makaburini na kiskin tight chake cha buluu kimeandikwa " what u see is too expensive for u" kwenye upaja
BADILI TABIA thanks a bunch