Happy Birthday The Finest

Wahusika, kuanzia King'asti hadi Husyn aliejivua gamba
Wote njooni hapa uwanja wa Baresa Manzese, nshaweka turubai

Mods wakiongozwa na RR wana kazi ya kuandaa mboga, huo mbuzi wachunwe vizuri
Product ya nfaka itaongozwa na MJ1 na wajukuu wa babu ODM wote
X-paster atasimamia maakuli mengine yooote yatakayopendezesha sherehe kama desert, starter
Sasa sijui hawa tablets na Fidel wakae kwenye vinywaji? au tutakuta stoo nyeupe, basi hawa wasimamie kibuku tu
Vinywaji vingine vitasimamiwa na Rejao na Bishanga.

Afrodensi, kazi yake leo ni kutabasamu na kutizama watu machoni tu:glasses-nerdy:

Wakaka wooote, pangeni viti na kufagia uwanja.
 
HAPPY BDAY TF,live to the fullest
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday The Finest.
 
Finest HAPPY BIRTHDAY MY DEAR. nimekumiss jamani. Saccos ndo inaku keep busy namna hiyo au yule...naniliu?
 
Finest HAPPY BIRTHDAY MY DEAR. nimekumiss jamani. Saccos ndo inaku keep busy namna hiyo au yule...naniliu?
Halafu Amyner unajua sio vizuri nitakutafuta hata kwa greda lol..thank you for the wishes
 
Last edited by a moderator:
happy b-day to u, happy b-day to u, happy b-day dear Tf happy b-day to u! how old r u now, how old r u now, how old r u now. happy b-day to u u u u u u . . . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom