Happy Birthday The Finest

Siku hizi hata alichokula jirani tunaweza kukijua tukitaka......uwezo huo tunao! [Hatutaki tu...Lol]

Lawyer wa kimataifa klorokwini atahusika kwenye suala tajwa
Gaijin
dahhhhhh unamuweka klorokwini rohoo juu hapo pa blue..

kabisa yaani hilo swala tunamuhitaji muda si mrefu mahakama tutaingia
hivi unadhani klorokwini anayo kweli ??? au tumbebe tu hivyo hivyo..
 
Last edited by a moderator:
Duh yani hujiamini?ondoa shaka mpz,alotuma msg hiyo ni Mr.mie akuuuuuuuu nakarangiza masotojo,TF shemeji yangu!shaka ondoa bi dada
Pearl
mmmhhhhhh
kwa sasa nameza mafundo ya mate kwa mpigo tu ...
hahahahah hujambo lakini bi dada? Kitambo hauonekani..
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hata alichokula jirani tunaweza kukijua tukitaka......uwezo huo tunao! [Hatutaki tu...Lol]

Lawyer wa kimataifa klorokwini atahusika kwenye suala tajwa
Yep afrodenzi yupo very well monitored hapa namchora tu anakatiza sinza makaburini na kiskin tight chake cha buluu kimeandikwa " what u see is too expensive for u" kwenye upaja
 
Last edited by a moderator:
Gaijin
dahhhhhh unamuweka klorokwini rohoo juu hapo pa blue..

kabisa yaani hilo swala tunamuhitaji muda si mrefu mahakama tutaingia
hivi unadhani klorokwini anayo kweli ??? au tumbebe tu hivyo hivyo..
mnibebe kwenye sreesome? nambieni nijiandae wajameni nisje nikaaibika, nimefanyiwa operesheni wa kiuno juzi tu msije mkanimaliza. Na jana dokta akasema nina kila dalili za kisukari
 
Rocky , Rocky
kwa sasa nasema asanteeeeee..
Mengine tukutane baadaye ..

Afadhali umekuja bana
Si unaona then Wishes zetu zimependeza baada ya wewe kutokea
hayo mengine yanyamazie bana usiseme mengi maana wapambe wako kila mahali
Miss u sana aise
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom