Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,529
- 82,814
Kabisa haya mambo ya gen zero ukiyaiga unaishia kuonekana kichekesho!Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Mi nashukuru mungu ushamba wangu huuu huu kauelewa ππππππππππΈπΈ
Kabisa haya mambo ya gen zero ukiyaiga unaishia kuonekana kichekesho!Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Mi nashukuru mungu ushamba wangu huuu huu kauelewa ππππππππππΈπΈ
Mi wenyewe lasabaD hapaβΊβΊ!
Karibuni nyumbani hasimuu. Birthday boy ameandaa bonge la parrrrrriiii
true love haiwezi kuisha happy birthdayTo the love of my life: Thank you for being my friend my best friend my life mate my everything!
Youβre not just my love sweetheart youβre my destiny my heart a perfect match.
No words can explain how much you mean to me Smart . Wishing you a day full of happiness joy and laughter.
Happy birthday to someone who is very special to me.
Happy birthday to my forever person!
Happy birthday Kivuruge wangu
View attachment 3629503
Anashindwa kuelezea, anabaki kucheka na kuwaza leo atakubetuaje upunguze kamdomo πEwaaaaaaaaaa!!! Huku namtania hiki kipindi hatujaonana wamekupea staili gani mpya iliyokufuruga ?? Umekutana na ya aina gani????? Anacheeeeeeka.
Aishi sana Smart
Na huwa wanachekesha haswa, hasahasa ukute wameungana wote unaishia kujionea vituko tu unaamua kutulia!Sasa unakuta kuna mwenye anajifanya wa mjiniii ukimuangalia hata wee mshamba unajikuta unamcheka. Unaamua kuchekea chooni tu!
Mambo ya kudumu yana wenyewe mi nikiishi na mdada wiki mbili tu nachoka kinoma.Sema hii kapo imejua kudumu bhana
Nikipata my wangu wa hivi hapa JF wallah nitachukua notes zenu
Happy birthday shemeji wa taifa la JF Smart911
My apologies, and please both receive my warm wishes! Wakatabahu!To him not her
Umalaya huo! π€Mambo ya kudumu yana wenyewe mi nikiishi na mdada wiki mbili tu nachoka kinoma.