๐๐๐ unakutana na pasua kichwa ama wewe ndo shida?Mambo ya kudumu yana wenyewe mi nikiishi na mdada wiki mbili tu nachoka kinoma.
Wapi umeona nakomaa na GenZ mkuu?Weeee si unakomaa na gen zzzz lazima wakunyooshe๐๐
Mwezi wa 7 kwa mwaka 2926 huu ๐คฐ ishafikia miezi mingapi tuandae baby shower????
CC Watu8 ๐
Yupi tena huyo? Niambie mapema nimshtue weekend aje kunikangua hivi vipele mgongoni.Weeee uko vizuri nayule mtu wako humu mnaongeaga nakupeana maiki wenyewe!
Hamnaga maneno mengi kabisa..
Ameen!!Shemeji wa taifa la jfโบ
Umetishaaaa...
Mungu amjaalie afya njema na maisha marefu milele amina.
Hata sielewi naona tu kukaa na mtu muda mrefu kama tunazoena hivi.๐๐๐ unakutana na pasua kichwa ama wewe ndo shida?
Baba punguza hiki kipaji baba!Umalaya huo! ๐ค
Hata sielewi naona tu kukaa na mtu muda mrefu kama tunazoena hivi.
Hahaha yalipata miongozo... Shenzz kabisa sweetheart...Haha
Komaa fukuzia ivoivooo kibishi mzeyy unakataje tamaa kirahisi hivooo!!!
Mimi Smart enzi ananifukuzia tulipigana sio kidogooo . Nilimpiga hadi mangumi hakukomaโบโบ
Ndoa bado bado!Jitahidi hiyo hali ikutoke labda kama hauna mawazo ya ndoa
Onyo kama nimekudharau sana... Lakini bado upo tu kama binadamu wa siku hizi walivyo wabishi sana...Weeee si zamani si saivi ful vurugumechiii... yaniii hayanaga mwongozo. Hasa sisi wa zamaki a.k.a the aunties ukute Smart kakutana na vi gen z huko fahari ya macho alooooooooooooooooooo!!!!!!!!!! ๐
Ukikutana na onyo pita vileeee as sio shida kabisa. Wee komaa na mywako tu wenye husda watajua wenyewe na mabango yao.
Mwambie aje chapu nimechoka kusubiri.With time utaelewa.. anasemaga smart time will tell
Toa sadaka tumfikishie mungu taarifa!Baba punguza hiki kipaji baba!