Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,548
- 83,034
Mambo hayoo!Hapo kwenye kubetuaje na kupunguza kamdomo hapo 😄😄
Mambo hayoo!Hapo kwenye kubetuaje na kupunguza kamdomo hapo 😄😄
Nipe codes namie nimjue sio kwa kujificha huko!Weeee uko vizuri nayule mtu wako humu mnaongeaga nakupeana maiki wenyewe!
Hamnaga maneno mengi kabisa..
How many women should I have?? 😃
I as I man, I don't cheat, I simply decide...😂
Hayanaga miongozo...Watu mko serious! Mimi nimepigwa kibuti na SweetyCandy kwa kushindwa kuifikia hii hatua mliyoifikia nyinyi.
Hakika hili linapendeza sana...HBD kwako mzee wa Inasikitisha sanaa. Ngoja waje wakupe muongozo
Wewe unafanya hivyo?Yeah. Wa kuzeeka pamoja muhimu hata gen z wakikuchanganya huko ukirudi anakupokea
Asikilizwe ana hoja na Mnara wake ujengwe makutano ya Mafiati Mbeya
Ukipata wa hivyo nipasie mkuu, wapo wachache kama wewe!Akili zenu wanaume mnazijua wenyewe. Mkiamua kuvuruga mnavuvuruga kweli kweli!!
Unaroho mbayaaaWatu mko serious! Mimi nimepigwa kibuti na SweetyCandy kwa kushindwa kuifikia hii hatua mliyoifikia nyinyi.