MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,436
Nalishwa nyama ,nyama kwa nyama sijui ninyi huko .Hahaha kwani mliishia wapi na kipenziyo? umenichekesha kama mbwai na iwe mbwai!😂
Mambo yako yente sana
Nalishwa nyama ,nyama kwa nyama sijui ninyi huko .Hahaha kwani mliishia wapi na kipenziyo? umenichekesha kama mbwai na iwe mbwai!😂
Hongereni sana! sisi ndio tunaangalia hapa kama tunazika au tunasafirisha! nyinyi msitusahau tu kwenye ubwabwa!Nalishwa nyama ,nyama kwa nyama sijui ninyi huko .
Mambo yako yente sana
Alipata kusema Ruge iogope teknolojia na Mungu .Kajipata basi hataki kuiona corolla! 😂
Haina ubwabwa hiyo ,ni kuvusha usiku ,asubuhi mama mjengoHongereni sana! sisi ndio tunaangalia hapa kama tunazika au tunasafirisha! nyinyi msitusahau tu kwenye ubwabwa!
HahaNi hapo mimi nikimpenda mtu hapa ,najaribu huko PM akinibwaga basi kila uzi nitakopomkuta hakuna kukomenti wala kulike asije akanishuhsia kaheshima kangu kaliko baki
Mh zamani watu mlikuwa wastaarabu ila siku hizi ukijimix vibaya ,utakuwa bize na tushuguli twa serikali ,siku umesema wacha nipumzike niingie JF kidogo unakuta kapicha kako na kauzi ka onyo kenye maneno ya udhalilishaji kwa lugha ya malkia ati "CLOSED LETTER TO YOU MENEMENE TEKERI NA PERESI "Haha
Komaa fukuzia ivoivooo kibishi mzeyy unakataje tamaa kirahisi hivooo!!!
Mimi Smart enzi ananifukuzia tulipigana sio kidogooo . Nilimpiga hadi mangumi hakukoma☺☺
Kumbe kwao ni mbeya halafu anakuja kutamba kwenye jiji la wenyewe! hahaa huenda hatofika kwenye ulanzi tumpe muda!Alipata kusema Ruge iogope teknolojia na Mungu .
Picha zipo nasubiri siku tukutane kwenye ulanzi kama sio matai kijijini kwao basi kwa nduguze mbeya nimuoneshe kapicha kuwa braza shida iko wapi kwenye haka kapicha ?
Sogea tukae! mkikutana kimjinimjini ndivyo mtakavyoachana!Haina ubwabwa hiyo ,ni kuvusha usiku ,asubuhi mama mjengo
Kila la kheri kwenye msiba!Kila la kkheri kwenu..
Na hii uwa ni nzuri maana aliyevamia geto anaondokaga na tenga lake la nguo tu hakuna cha we made what and what ni wewe na tunguo twako basiSogea tukae! mkikutana kimjinimjini ndivyo mtakavyoachana!
Mnyalukolo yule ,ila nduguze wengi wamekimbilia uswafwaniKumbe kwao ni mbeya halafu anakuja kutamba kwenye jiji la wenyewe! hahaa huenda hatofika kwenye ulanzi tumpe muda!
Hii ni mbaya umenifundisha kitu sitaenda kukaa kwa mtu zaidi ya siku mbili! 😆Na hii uwa ni nzuri maana aliyevamia geto anaondokaga na tenga lake la nguo tu hakuna cha we made what and what ni wewe na tunguo twako basi
Doooh!Mnyalukolo yule ,ila nduguze wengi wamekimbilia uswafwani
Hapana unaenda ila unacheza kimaster usibebe begi la nguo ,wewe kila ukienda acha kanga ,mara suruali yaani akijakustuka nguo zako zote ziko kwake .Hii ni mbaya umenifundisha kitu sitaenda kukaa kwa mtu zaidi ya siku mbili! 😆
Weeee si zamani si saivi ful vurugumechiii... yaniii hayanaga mwongozo. Hasa sisi wa zamaki a.k.a the aunties ukute Smart kakutana na vi gen z huko fahari ya macho alooooooooooooooooooo!!!!!!!!!! 😊Mh zamani watu mlikuwa wastaarabu ila siku hizi ukijimix vibaya ,utakuwa bize na tushuguli twa serikali ,siku umesema wacha nipumzike niingie JF kidogo unakuta kapicha kako na kauzi ka onyo kenye maneno ya udhalilishaji kwa lugha ya malkia ati "CLOSED LETTER TO YOU MENEMENE TEKERI NA PERESI "
Ni hapo utaona mwenzenu sionekani tena ,mnauliza yu wapi rafiki yetu kumbe nilidhalilishwa ikabidi niiweke akaunti kando .
Kwa haujayaona hayo ? Mpaka wengine wamejaaliwa tuelimu tuzuri ila wamelimbia na maarifa yao baada ya mapenzi kuwadrive kwenye aibu
Ahh we! na kwangu namuchia nani? kila mtu akae kwake tu! 😅Hapana unaenda ila unacheza kimaster usibebe begi la nguo ,wewe kila ukienda acha kanga ,mara suruali yaani akijakustuka nguo zako zote ziko kwake .
Annhh huo uchiz sifanyi,aibu gani hii, kukaa nazunguka na mabegi nyoooh!😂😂Ni hapo unasema tuoane bwana mnaoana ila akileta za kuleta unakusanya tunguo twako unalala mbele ili ukajianze upya kwenye mapenzi .
Hahahahhaah wapuuzi, kila mtu atafute chake kwanza, kupunguza kudharauliana!Japo unajua hili life hata wanaume baadhi wanapitia life la hivi hasa wenye kupenda mishangazi