Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,699
- 91,069
Nitafutie mywangu mmoja kama smart tuvumiliane kama nyie,ila unipe past papers kabisa!๐No! Lakers kwenye maloveee dear
Nitafutie mywangu mmoja kama smart tuvumiliane kama nyie,ila unipe past papers kabisa!๐No! Lakers kwenye maloveee dear
Kbisa!! ๐๐๐๐๐๐๐๐
Acheni watru watambe jijini buanna!
Ndiyo mfumo wa mjini sasa hivi wanaishi kimasterAhh we! na kwangu nmucha nani? kila mt akae kwake tu! ๐
Annhh huo uchiz sifanyi,aibu gani hii, kukaanazunguka na mabegi nyoooh!๐๐
Hahahahhaah wapuuzi, kila mtu atafute chake kwanza, kupunguza kudharauliana!
Na mabinti sikuhizi wanajua kuipeleka aisee! acha wafumliwe wakirudi ni makasiriko tu! ๐Mi Huwa namwambia kivuruge wangu ikitokea mwanamke kakuelewa kaileta mwenyewe weee fumuaaa tu anaishia kucheka..
Acha niendelee kuonekana mshamba tu, hiyo mifumo yenu ya mjini inipite tu!Ndiyo mfumo wa mjini sasa hivi wanaishi kimaster
Weeeee past papers zetu utaziweza???Nitafutie mywangu mmoja kama smart tuvumiliane kama nyie,ila unipe past papers kabisa!๐
Nitajikaza sis ๐Weeeee past papers zetu utaziweza???
Kuna muda tunapigana tunachambana tunavutana sanaa tunanunianaa nasusaaaa bila maelezo yaliyojitoshekeza tunaenda kimyaa kimyaaa ivoivooooo๐๐๐๐

Ndio kazi tuliyonayo hapa duniani wanawake! mtibue akitulia, akitibuka mtulize!๐คHahahaha hapo mi nakua namtania sasa ili aingie kwenye mfumo nimchambe nimnunie nisuse๐๐๐๐๐!
Kama ananipa ninachokata, mbona freshy tu! ila kama ndio pangu pakavu tia mchuzi halafu bado analeta mambo ya kiwaki,tamnyoosha!Khakhakhaaa..Inategemea na mtima wako ukimzingatia sana utagombana nawatu. Unaamua kumpa uhuru tu achoke mwenyewe!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Ndio kazi tuliyonayo hapa duniani wanawake! mtibue akitulia, akitibuka mtulize!๐ค
Ukitaka ufurahie wee mfanye kama mpenzi rafiki mfano wa SmartKama ananipa ninachokata, mbona freshy tu! ila kama ndio pangu pakavu tia mchuzi halafu bado analeta mambo ya kiwaki,tamnyoosha!
Mmambo niyapendayo! penzi linaanza moja! ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Namie sometimes namtibuaaaa kweliikweliiiiiiii anaumia hadi nafeel uchungu alioupata!
Tukikutana tunaanza kusovu kesi kwanza
Aishi sana tuendelee kupata tution!Ukitaka ufurahie wee mfanye kama mpenzi rafiki mfano wa Smart
Hapo kwenye ninachotaka sasa awwwwwwwwwwwwwwwww!๐๐๐๐๐๐
Aishi sana kivuruge wangu