Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,498
- 82,521
Yanii hanipati ng'oo! 😂Akusikie uone kama haujalikimbia jiji .
😂😂😂😂😂Nikamkumbuka dogo mmoja wa mjini kati mbeya alimtongoza mdogo wake kipindi hiko kaka ni RC ,saa ngapi mwamba asinyee ndoo huko gereza la ilembo kila akiulizwa babu vipi wewe kuwepo hapa anasema nyege kaka 😀😀
Jitahidi usizimie tu sigara kwenye ualaza! tutashindwa kuwatofautisha! utimamu anao ni kujichetua tu, na zile dharau anatukataa tunaomiliki corolla eti tunaichafua dar!Mimi mfupi kama yeye ila madoa sina na akili nahisi zangu ziko timamu kabisa

