<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Wee njoo without, usijali ukija na with afu zikapungua ntafanya ukaguzi without. Mwisho wa siku with inakuwa without kama alivyosema hommie hapo juu....damn it!
Hahahahaha!
Ndio maana nakupenda babu,nilikuwa napatafuta hapo hapo,
Unajua ww unaelewaga sana, hata mie sipendi kbs hizo WITH,,
Usijali nakuja without,na mambo yote yataendelea kuwa without mwanzo mwisho.
 
asante, hali yangu Alhamdulillah, vipi weye? uchovu wala siusikii shangaziyo yupo tele akinpepea!

hahaha najua big sisy yupo vizurii aisee.
me niko buherii wa afya yan!!!!!!!!
lol..... afu big sisy unavyomsifia sifia iv mbele za wa2 unawapa hamasa ujue, au ndio unajiamin 100%
 
Wee njoo without, usijali ukija na with afu zikapungua ntafanya ukaguzi without. Mwisho wa siku with inakuwa without kama alivyosema hommie hapo juu....damn it!
loh..... babu uko na unfinished business ujue,
hata hukunipa feedback za ukaguzi lol.
 
hahaha hii familia naipenda aisee, tunavunja kamati kwa namna yetu lol.
viva wanafamilia.

Ni one of the best families I am telling you.... Kama nilivo kuambia.... Loving and caring kwa saana tu humu ndani....lol... Naona hu regret kabisa kid sis...lol
 
hahaha najua big sisy yupo vizurii aisee.
me niko buherii wa afya yan!!!!!!!!
lol..... afu big sisy unavyomsifia sifia iv mbele za wa2 unawapa hamasa ujue, au ndio unajiamin 100%

hahahhaa..... Anajua akinisifia kichwa hichoooo! apunguze kidogo unaona? lol

hahaha hii familia naipenda aisee, tunavunja kamati kwa namna yetu lol.
viva wanafamilia.

hakunaga kama familia yetu.... hakunaga kabisa! lol
 
Mbona Golden Mpoleeee natengwa da asha si ulisema tayari umenikiribisha kwenye familia yenu? au sifai tena na wewe usha ni jaji?

Golden Mpoleee I never judge dearest.... OPINIONATED? Yes, but ku judge hapana dear.... Karibu saana katika familia yetu, ila tu naomba utakua niece sio kid sis.... yaani Sweetie (Kaizer) kwako atakua ankal wako SIO Shemeji... Sawa Dear.... Karibu saana. Nafurahi kua na mrembo mzuri na mpole kama wewe ndani ya Familia yetu!

@WANAFAMILIA....

Hebu naomba mmkaribishe, Golden Mpoleee kama niece wangu... Babu naomba mkague huyu binti.....lol
 
hahahhaa..... Anajua akinisifia kichwa hichoooo! apunguze kidogo unaona? lol

hakunaga kama familia yetu.... hakunaga kabisa! lol
hahaha shemeji anaonekana anajiamini, dats y anamwaga masifa hadharani lol.
hajaona wakumsh2a kabisa hapa nadhan, ni vizurii aisee me namuaminia huyu.
aah hii familia balaa, sijutii kamwee.
 
Nilifika salama, sema tu niliondoka kimya kimya...., kamati ya vinywaji ilipwaya sana, sikupata traditional drinks!

Asikusikie mwenye kiti wa kamati.... Kabila lao aliruhusu sherehe ipite bila vinywaji vya asilia... yaani hii itakua matusi kabisa! lol... wewe tu ulizubaa hukuviona! lol
 
hahaha najua big sisy yupo vizurii aisee.
me niko buherii wa afya yan!!!!!!!!
lol..... afu big sisy unavyomsifia sifia iv mbele za wa2 unawapa hamasa ujue, au ndio unajiamin 100%

hahaha Obsesd, Kisuzir kisifie, chako kipende, au sio....najiamini kwa saaana tu yani....
 
Back
Top Bottom