<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

haaaa,,HAKUNAGA...I mean mfanowe HAKUNAGA kabisa...alizaliwa peke yake tu....polee hommie....umekinai wajukuu?
Very unfair indeed!!

Shem hapo ndio umeharibu kabisaaaaa.... Mimi nilimwambia hujiwezi nilikua nakupepea tu na wala hukutuambua uwepo wangu....lol
Hata hivyo hakijaharibika kitu. Hommie bado anaamini ulichomwambia.
 
hakunaga zaidi yangu mie na wewe hakunaga! babu unaendeleaje mgongo umepona?
 
That is my Big Sisy,
Naendelea kujifunza mengi kutoka kwako maana.....!
Kumbe kile kijitambi cha shem wangu kinasababishwa na mengi lol!

Usijali mdogo wangu tuko pamoja.... tatizo hawa wenzetu ni wasahaulifu na saingine hata hawajali, usishangae anitaka nitenda hapa hapa....lol
 
Very unfair indeed!!
Hata hivyo hakijaharibika kitu. Hommie bado anaamini ulichomwambia.

Hapo ndio uzuri wake....lol

Yaani wewe unapaswa uje without lanini uje na with...... you knoo woram seyyying?

Shem don't tell me today you are drinking... I don't remember giving you permission!
 
Yaani wewe unapaswa uje without lanini uje na with...... you knoo woram seyyying?
Orait Babu,
Umesomeka vizuri kbs,
Asa babu hebu nambie hizo WITH natakiwa kuja nazo ngapi kwa matumizi ya wiki mbili km ulivosema?
Umejiaandaa andaaje babu wiki mbili si mchezo atiii!
 
Orait Babu,
Umesomeka vizuri kbs,
Asa babu hebu nambie hizo WITH natakiwa kuja nazo ngapi kwa matumizi ya wiki mbili km ulivosema?
Umejiaandaa andaaje babu wiki mbili si mchezo atiii!

orait apo juu ODM na Canta, iyo mambo ya without na with......mi nashauri zote without....bila sababu...damn

Sweetie, come this way nina njaa mchana huu ya kufa mtu...
 
orait apo juu ODM na Canta, iyo mambo ya without na with......mi nashauri zote without....bila sababu...damn

Sweetie, come this way nina njaa mchana huu ya kufa mtu...
Hahahahahaha!
Shem potezea bana,
Wenzio tuko kwenye majadiliano hevi,
Kwenda naenda without nikiwa na with mkonon lol!
 
Orait Babu,
Umesomeka vizuri kbs,
Asa babu hebu nambie hizo WITH natakiwa kuja nazo ngapi kwa matumizi ya wiki mbili km ulivosema?
Umejiaandaa andaaje babu wiki mbili si mchezo atiii!
Wee njoo without, usijali ukija na with afu zikapungua ntafanya ukaguzi without. Mwisho wa siku with inakuwa without kama alivyosema hommie hapo juu....damn it!
 
orait apo juu ODM na Canta, iyo mambo ya without na with......mi nashauri zote without....bila sababu...damn

Sweetie, come this way nina njaa mchana huu ya kufa mtu...

Sweetie lunch tayari.... Leo ni ugali, dagaa fresh ilotiwa nazi na viungo vingine voote vya jikoni na veggies za mchicha ulochanganywa na speenach ya karanga..... Sijasahau your favourite, mtindi... Anything more Love?
 
Back
Top Bottom