<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

hahaha shemeji anaonekana anajiamini, dats y anamwaga masifa hadharani lol.
hajaona wakumsh2a kabisa hapa nadhan, ni vizurii aisee me namuaminia huyu.
aah hii familia balaa, sijutii kamwee.

That is one of the qualities I fell for him.... na mengine meeeengi, nikianza kumuongelea hapa.... kutakucha....lol :A S embarassed:

At the end of the day as much as no body is Perfect... He is Perfect kwangu, na inatosha kabisa! lol
 
Aksaante Mwita naona wameamua kui-carry over hii birthday party.
NYIE MKUMBUKE ANATAKIWA KUENDELEA NA DRIP HUYO BABU MZALIWA.

Na wewe MJ1 Tunakumiss mpaka watuboa! Hebu punguza caring na Utiifu kidogo hata sie we need you sio babu yako pekee ndio umjali bana! Pole na uchovu wa sherehe....
 
hahaha shemeji anaonekana anajiamini, dats y anamwaga masifa hadharani lol.
hajaona wakumsh2a kabisa hapa nadhan, ni vizurii aisee me namuaminia huyu.
aah hii familia balaa, sijutii kamwee.

rightly so Obsesd....quite right....😛oa
 
Golden Mpoleee I never judge dearest.... OPINIONATED? Yes, but ku judge hapana dear.... Karibu saana katika familia yetu, ila tu naomba utakua niece sio kid sis.... yaani Sweetie (Kaizer) kwako atakua ankal wako SIO Shemeji... Sawa Dear.... Karibu saana. Nafurahi kua na mrembo mzuri na mpole kama wewe ndani ya Familia yetu!

@WANAFAMILIA....

Hebu naomba mmkaribishe, Golden Mpoleee kama niece wangu... Babu naomba mkague huyu binti.....lol

Naahidi da Asha na mm nitampenda kila mtu ndani ya familia hii nafarijika kua mm ni wa jana tu na umenithamini! nitakua mtiifu kwel kwel.
 
Bonge la Idea,....

tunapongezana humu humu na tunavunjia kamati humu humu

Haswaaaa!! Kwanza umetoa zawadi Manyanza? hebu jivute vute utoe zawadi ingawa umechelewa....lol... au toa hio bonge la idea...
 
That is one of the qualities I fell for him.... na mengine meeeengi, nikianza kumuongelea hapa.... kutakucha....lol :A S embarassed:

At the end of the day as much as no body is Perfect... He is Perfect kwangu, na inatosha kabisa! lol
oooh this is awesome big sisy, hata mm nimependa hii level yake ya kujiamini aisee.
nami naona kbss upo pazuri dada angu, u made the right choice!!!!!!! hakunaga chaguo zurii kama ilii.
hata sie wana familia hata hatujutii kuwa na shemeji kama huyu aisee, he iz always there for us huh.
 
Naahidi da Asha na mm nitampenda kila mtu ndani ya familia hii nafarijika kua mm ni wa jana tu na umenithamini! nitakua mtiifu kwel kwel.

Na sisi hilo ndio tunataka... Huo ndio msingi wa amani na ndio maana unaona woote twaheshimiana, wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume... Haijalishi kabisa! Hivo narudia karibu saana Niece.... Cousin wenzio ni Mwali na Husny, kuna akina dada kama MJ1, Smiles, Cantalisia, Obsesd, Feis buk, Michelle, First Lady woote hao ni wanafamilia. Kuna wifi zangu kama King'asti, SweetLady, na waume zao Paw na Cookie... Siku zitapozid kwenda utazidi kuwajua... Sawa dear?
 
auntie hii taarifa mbaya Cookie tayari kaoa?
 
hahahahahhah Auntie nawe huna dogo!! Mwite Canta au Golden Mpolee aje anisaidie kushika drip hapa nami nipumzike.

sasa hivi wanakuja walau upumzike dearest... Kazi uliofanya sio ndogo kwa kweli.... Hongera saana.... Nitawambia wadogo na dada zako woote waige.....
 
Back
Top Bottom