Asante kwa ilmu hii,Mdogo wangu haya pia ni mafunzo nakupa.... Sio etu upate mume sababu tu Husny, Mwali, Smiles, Obsesd ni wadogo na binam zako baasi wawaachia huru mno na mumeo... Hata kama wawaamini vipi; unajenga hata vile ambavo havipo... nisipo kuwepo utanisaidia kwa shemejio... ila huo msaada una mpaka. sio sababu sikuamini....lol... it is nature I am afraid of.
Asante kwa ilmu hii,
Umesomeka vema kbs,
Ila nakutoa hofu kwa shem nitazingatia mipaka,
Na sitazidisha mapishi lol!
ODM.....Come This Way Uonane na Mwenyekiti...ana ujumbe wako maalum.
baada ya kusema hayo, naomba nitambue uwepo wa my Sweetie AshaDii, ambaye siku nzima ya jana alipumzika tokana na uchovu, wapwa zangu Canta, Obsd, Hus, Mwali, na marafikizi zangu wa karibu wote.
habari zenu?
uhali gani shemeji mzima wewe???ODM.....Come This Way Uonane na Mwenyekiti...ana ujumbe wako maalum.
baada ya kusema hayo, naomba nitambue uwepo wa my Sweetie AshaDii, ambaye siku nzima ya jana alipumzika tokana na uchovu, wapwa zangu Canta, Obsd, Hus, Mwali, na marafikizi zangu wa karibu wote.
habari zenu?
Habari zetu ni poa kbs, my Big shemODM.....Come This Way Uonane na Mwenyekiti...ana ujumbe wako maalum.
baada ya kusema hayo, naomba nitambue uwepo wa my Sweetie AshaDii, ambaye siku nzima ya jana alipumzika tokana na uchovu, wapwa zangu Canta, Obsd, Hus, Mwali, na marafikizi zangu wa karibu wote.
habari zenu?
Asante kwa masifa mengi ulonimwagia lol,Hapo sawa kabisa mdogo wangu... Roho yangu nyeupeeee.....lol.
Kuna raha nyingine kweli kama una mdogo reliable na mwaminifu hivi?
Asante kwa masifa mengi ulonimwagia lol,
Hope nimetimiza wajibu wa kumuita big shem,
Na sasa yupo ndani ya nyumba.
Hilo liko ndani ya uwezo wangu....na kukuruhusu ni atalazimika..... Hebu come this way.....:juggle:Haahahahaha,
Kuna operation nn babu?
Km ni wki mbili ongea na Bisy wangu km ataniruhusu coz ananitegemea sana kwa mwasuala ya kichen lol!
Sijapata zawadi yako. Hebu do the needful basi........:eyebrows:Birthday bado inaendelea kumbe..................
Happy Birthday Asprin
Hommie....nikishakuja that way na the needful itakuwa kwenye this way?ODM.....Come This Way Uonane na Mwenyekiti...ana ujumbe wako maalum.
baada ya kusema hayo, naomba nitambue uwepo wa my Sweetie AshaDii, ambaye siku nzima ya jana alipumzika tokana na uchovu, wapwa zangu Canta, Obsd, Hus, Mwali, na marafikizi zangu wa karibu wote.
habari zenu?
Hommie....nikishakuja that way na the needful itakuwa kwenye this way?
Baada ya kusema hayo naomba nikushukuru kwa kuniachia shemeji yangu. Amenichangamsha usiku kucha..... Aisee unafaidi sana hommie, hana pacha wake tuangalie uwezekano?
Sweetie you are going to kill me soon one of these days you know?
uhali gani shemeji mzima wewe???
pole na uchovu wa hii shughuli!!!!
Orait Babu on my way,Hilo liko ndani ya uwezo wangu....na kukuruhusu ni atalazimika..... Hebu come this way.....:juggle:
Hommie....nikishakuja that way na the needful itakuwa kwenye this way?
Baada ya kusema hayo naomba nikushukuru kwa kuniachia shemeji yangu. Amenichangamsha usiku kucha..... Aisee unafaidi sana hommie, hana pacha wake tuangalie uwezekano?
haaaa,,HAKUNAGA...I mean mfanowe HAKUNAGA kabisa...alizaliwa peke yake tu....polee hommie....umekinai wajukuu?
please Dont sweetie....
That is my Big Sisy,Kwangu ipo simple mdogo wangu... We enjoy each others company hivo ndani lazima tu arudi...lol.. Na wajibu lazima nitimeze kama ilivo ada.