klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hahahahahaha, mbavu zangu mie..... lolest
Mi ni mdogo mdogo deskmate, portable fulani. sio mimi!
Achana nae, anakurusha roho tu huyo.
Achana nae, anakurusha roho tu huyo.
loool, halaf deskmate akikuwepo ivuga unanikana hazarani? nikijiuwa lawama zikuje kwako
Dah! madam deskmate mwenyewe kaniknock out wee endelea tu bana. Hongelausijiue bana..sema ndio hivyo inabidi utulie watu wapewe mambo
Mi sijakukana, nakupa sana nafasi yako ya rafiki yake Uncle, protector. not more, not less.loool, halaf deskmate akikuwepo ivuga unanikana hazarani? nikijiuwa lawama zikuje kwako
Asante sana MJ1, ubarikiwe...HITIMISHO
Ingawaje mie leo nimeonekana kama mchezaji wa akiba ila mjue tu kuwa uhai wa huyu Babu unakuwa -backed up na mie mshika, mtundika na mtoa madrip. Bila haya madrip huyu mnayemuita Babu yenu leo ii asingekuwa na uwezo wa kutuma post hata moja achilia mbali kupokea simu.
Ninawashukuru wote kwa kumfanikishia huyu Babu siku njema na ninawaomba mmalizie malizie kwani mie kesho alfajiri ninapiga hodi chumbani kwake na drip yangu.! Babu kumbuka pia kuwa una dozi ya sindani 3 za kwenye makalio so jiandae, masuala ya kutusumbua hadi tupate watu wa kukushika hatutaki.
eeeeh! ndio hivo?alaa..kumbe. ngoja sasa hii sina wasi wasi tena .hakuna harammu tena
kiasi...kwani kuna ubaya jamani? unaogopa?🙂🙂
Hahaha! Litakuwa la mama matesha tu, hakuna mwingine! Mwambie Ivuga ole wake baba matesha amkute, atajuta kuchanganya msuba na bananal!..lolheheeh saint ivuga nazani kachanganya na msuba, nimemkuta uwani ananusa kufuli la mdada, sjui la nani lile aisee. Ni oversize
kiasi...
Na mimi ni mtoto, naogopa kudungwa. ngoja nipotee kwanza. Leo Anti yangu kanikosea sana kuniacha peke yangu...sasa unaogopa nini? watoto ndio huogopa sindano.
I am sorry uncle, usimwambie babu...
Uncle, I am happy umekuja. Baada ya wewe na Anti kupotea kuna vitu vingi vilitokea hapa...Good Mwali...good...naona mafundisho yanakuingia
Uncle, I am happy umekuja. Baada ya wewe na Anti kupotea kuna vitu vingi vilitokea hapa...
Husninyo na sweetlady walipotea kabisaaaaa. Halafu Babu Aspirin akaanza kua very strange... something to do with mkongojo wake.Mind briefing me? LOL
wewe wenzako wote wamezimwa na pombe wewe upo tu................? aa nimekumbuka kumbe wewe hunywagi pombe mtoto mzuriHusninyo na sweetlady walipotea kabisaaaaa. Halafu Babu Aspirin akaanza kua very strange... something to do with mkongojo wake.
Deskmate alini abandon nikabaki peke yangu. Ivuga nae akawa ananiita mtoto. Nilikutafuta kwenye sim nikakukosa... Mtu alie behave hapa ni Kipipi peke yake, na mimi kama kawaida.
Mi nimesha amka hapa nafanya fanya usafi. Ongea kwa saui ya chini babu bado kalalawewe wenzako wote wamezimwa na pombe wewe upo tu................? aa nimekumbuka kumbe wewe hunywagi pombe mtoto mzuri