STOP!! Mjukuu atamteuaje mjukuu mwenzie? Ushasahau mila zetu mara? haya mambo ya wakubwa yanawahusuje wajukuu? Hili ni jukumu lako na dada na mawifi zako kuteua mjukuu ambaye mnaona anafaa kwa hii kazi.....NEED I SAY MORE?
:ranger:
hapa mnaongelea nini sweetie? Am lost....
Kaizer,
Hapa ndo unakusudia kuonyesha kwamba umepoteza imani kwa ''my sweetie'' wako?
Aaaah Antie yangu mbona sasa unasusa? Nakuomba unisamehe Auntie jamani. Mimi nakubali wewe uwe msimamizi mkuu wa shughuli hii, mie nilichukia kwa kuwa hukunipangia kazi jamani.
Babu niombee msamaha kwa auntie jamani
NOOO! It wasnt me...... kale kajukuu kalinifosi nibwatuke....kalitishia kuongeza speed ya dripu nisingefanya vile.... Sasa machungu ya Regia umesema bado hayakutoka, ulitaka uongezewe na ya ODM? No? do the needful basi lolHow can I say NO to my Darling shem? Lakini asubuhi umenigombeza saana shem..... I felt bad.
Wewe na crew nzima msiniangushe kabisa......
Umeona eeeh? Dawa yako uwe unatutembelea home juma pili ya Mwisho ya kila mwezi.... Ndio hua twakaribisha mashemeji woote kwa ajili ya lunch, walo ao huja na families zao zoote.... Karibu sana nyumbani.....
BTW Sorry about your name.
Aksante auntie kwa kunisamehe. Sasa naomba unichagulie nivae nini maana si unajua tena Babu asivyovipenda vidontachi vyangu! Nsijemchefulia siku na toothpicks zangu Auntie! Dera?!Haaaa!! Kwa post hii mbona nipo huru kabisaaaaaa!! Thank GOD! Naona sherehe itakua nzuri saaana leo.... ehe, tell me utavaa nguo gani, mimi hili jukumu nalivaa nakuanza kuwakilisha wajukuu kwa babu yako....
...............:hat:Nisamehe shem.... Leo mbona ka umeniwenga vile? Dah!
aah sie tena! Shaka ondoa kabisa....lazima tuweke historia kwenye hii besdei bomba ya babu! Heshima yako haitapungua kabisa!
NOOO! It wasnt me...... kale kajukuu kalinifosi nibwatuke....kalitishia kuongeza speed ya dripu nisingefanya vile.... Sasa machungu ya Regia umesema bado hayakutoka, ulitaka uongezewe na ya ODM? No? do the needful basi lol
afadhali umerespond sisy roho yangu imetulia. Lol. Mdingi dawa ni kumwibia tu maana amezidi ubahili. Sahv nishajua password, nikitaka vocha navuta tu simu yake.
Yaani hata bila ya ukaguzi, UMEPITISHWA!Orait babu niko kwa folen hapa waiting for ur ukaguzi,no matter hw long it will take!
ADI,
If that is the case, nitakuwa makini sana jumapili ya mwisho wa mwezi huu ili nikaribishwe nyumbani, nani asiyependa kujiunga na familia bora!?
Worry not kuhusu jina, ni kawaida.
Ukija umevaa hayo makitu utaishia kwenye geti........😛hoto:Aksante auntie kwa kunisamehe. Sasa naomba unichagulie nivae nini maana si unajua tena Babu asivyovipenda vidontachi vyangu! Nsijemchefulia siku na toothpicks zangu Auntie! Dera?!
Aksante auntie kwa kunisamehe. Sasa naomba unichagulie nivae nini maana si unajua tena Babu asivyovipenda vidontachi vyangu! Nsijemchefulia siku na toothpicks zangu Auntie! Dera?!
Ukija umevaa hayo makitu utaishia kwenye geti........😛hoto: