Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
Hana nia mbaya... sisi mabinti nyumbani wooote wanapatana! hakuna kabisa ugomvi umeelewa dear... Nia yake ilikua hii hapa chini... Heb msome....lol
Jaman Goldemn Mpolee,
Ukuje basi huku jikon,unisaidie kusanga nyanya,
Then hizo sambusa tutamalizia baada ya kuunga mchuzi.
umepata, katoni mbili...
dah...valuer utakunywa na nini au kavu kavu?
mmmh! hapa kazi ipo... GM sasa si unaelewa ule msemo wa asie fanya kazi na asile?
Sweetie I bliv you get the idea leo ni kinywaji gani am in the mood for... Considering the challenges I have faced hapa....lol
Usijali mpoleee,Kama nimebanwa tu kwa ajili ya sherehe basi ok. ctak kugeuzwa kuku wa kisasa!
Asante Big sisy,
Sheri za babu ni kali sana,
Ila km unataka raha dunia ni kuzifuuta tu,
Chezea babu ODM,Utaona maisha machungu atii!
Mwanakwetu pitiliza tu huku kwa kichen,
Tuamalizie kuandaa mahanjamu,
Ili babu akitoka huko rum aliko na mjukuu mtiifu wa wajukuu wakute mambo tayari.
Naomba nikutakie weekend njema dear....
ikiwa kavu ndio inakua ya ukweee! usinione hivi naweza.
Yap yap yap!
Happy birtday buddy!
Hii birtday yako imenistukiza, itabidi niishiriki kwa ile style yetu kongwe ya LMM! LOL
Big sisy,Umeona eeeh? Alafu inakuaje unaagiza order kubwa hivo ya vinywaji kwa shemiyo? Umeanza kua kalevi eeh?
Usijali mpoleee,
Hapa mambo ya sherehe yakiisha uko huru kbs,
Na kwa vile najua sio fan yako wala sitakuuta tena huku jikon,
Tutamalizia tukiwa na big sisy na husn.
orait...chupa tatu zinawekwa....utapenda Gin pia? (kwa kesho)
Usijali,Mwanakwetu yaani kufika tu nakudakwa jikoni, subiri subiri kidogo basi nipumzike.....lol!!
Hajawahi! hua tu nasikia rumors.... Nihabarishe dear kama wajua maana inanikwaza kweli kua simjui.....
Nashukuru mpendwa...Nawe pia uwe na wikiendi njema..Hivi shemejio ODM alishakuambia mkewe wa kwanza alikuwa ni nani?
Usijali wala huna haja ya kupata shida zote hizo,hii nimeipenda. kdg nitokee dirisha la uani!