Geke ole my buraza
Mara yako ya mwisho lini kuja huku??
mwaka aloingia kikwete madarakani kwa mara ya pili nilikula huko likizo yangu
hesabu kimoyoni utajua ni mwaka gank
Mi nataka kujua whay are you ladyfurahia usin much energy and huge efforts in this Thrade ?
Mapambio nyomi !
I believe there's somethin behind the scene !
Ngoja Shemeji yangu Mentor atanitonya tu!
Unajua always action speak louder than words.
usijali lakini nikikuweka kwenye list nauli ya kuludia juu yakoTafadhali niweke kwenye list siku ukija tena ..........!!!!!!!
usijali lakini nikikuweka kwenye list nauli ya kuludia juu yako
sanaaaaa tu
ahahahah!..taratibu baba paroko..