Happy Birthday Lecture Mentor

Happy Birthday Lecture Mentor

stock-photo-letter-m-shaped-chocolate-birthday-cake-with-lit-candle-and-confetti-isolated-over-white-background-74306701.jpg

CC:Mentor
 
Shemeji Mentor hongera zako!
Kula sana mboga za majani , hakikisha wife wako ana "kuchumiamboga"za kutosha .
Achana na mivyakula ya kuungwaungwa mifuta na vitu kama hivyo .
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na wewe umezaliwa leo .......
Dah! hebu pokea hii zawadi yako

images



Natumai mama zenu watakuwa wanaikumbuka sana hii siku

images


Waheshimuni sana wazazi wenu ...............!!!!!!!!!!!!

Ha ha.....asante wangu......
 
Back
Top Bottom