Acha kelele wewe!
Haya nimeshatoka sasa
Bora umemaliza adhabu yako na uondoke aprokiani ........!!!!!!!
Dawa yako inachemka
Itachemka hadi itaungua ......!!!!!!!!
Endelea tu
Hatimae utanifikiria??
Hubna lolote wewe
Najua tayari hapa ......
Jipe moyo
Rest in Peacekwa sasa hivi sipo besti kwani nimekataliwa na baba yangu hivyo sina ukoo niko niko tu
nahitaji msaada wako plssssss labdaaaa:typing:
elewa kuwa unaongea na mizimu iliyofufuka
na kama sijakutokea hapo ulipo:biggrin1::biggrin1: