Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Kaburi unadhani ni mchezo......ndio lishasogea hatua moja kuja mbele ujue.......
hamna bwana ukiongezeka miaka unaongezeka busara pia ujue
Kaburi unadhani ni mchezo......ndio lishasogea hatua moja kuja mbele ujue.......
khaaaaaaa kumbe mwallu mnyamwezi wewe???,?,?,????,
mhhhhhhhhhhhhh hay bhana
Umeniwahi au ile ilikuwa earlier Birthday au hii ni late Birthday??hapa napata kizungumkuti!!Hivi ana hapi besdei mbili? Mbona tushakula cake yake escape????
So umeamka vizuri leo?
Natumai umenielewa ...............
mwanza hii miss neddy..
unakifahamu?
Thank you luv.....
Okuo hanga??Asante ndao......tchaaa....ngamkuo.....yeuwomiiii...
Thank you dear. ...
Unamkaribisha wapi??
Aje ale nini??
sanaaaaa tu