Happy Birthday Lecture Mentor

Happy Birthday Lecture Mentor

Happy Birthday
10657805656_e3a342f7ca_b.jpg Mentor
Asante ladyfurahia my dia...hizo sifa sasa! :dance::dance::dance:

Anyway, Namshukuru sana Mungu kwa siku ya leo...na nichukue fursa hii kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa pacha wangu wote: Preta, manyaga Sr., Evelyn, Leah, na Naomi (huyu tulizaliwa hospitali moja, siku moja, mwaka mmoja...mama tofauti)

God bless you all!!!
mwallu kipenzi, nangojea wish yangu by the way...sijasahau!!!
 
Last edited by a moderator:
Wao, happy birthday brother Mentor, Mungu akujalie afya njema, hekima na amani katika maisha yako hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli best asantekwa kunisaidia si unajua shule zetu za kata tena?
thanks my dia

No please...sijamaanisha hivyo wangu either ni shule "maalum" au za kata nk,nk,nk, spelling mistake ni kosa la kawaida tu. Tatizo sisi wengine macho ni makali kidogo....
 
Eiyer . Evelyn Salt nu miss neddy na paroko wangu Kaizer mshaona wapi mtu anazaliwa siku hiyo hiyo anaanza kuchimba mkwara watu wazima?..hatutishiwi nyau Mentor lol
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel?

Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia...



Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine!


mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni

Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...
 
Last edited by a moderator:
uwiiiii nilisahau
Happ bday .......Mentor

Halafu nimekumiss mnoooooo, ...u knw u knw u know...do ze nidfull pls
 
Back
Top Bottom