We nae ndo nini ku reply with quote li sredi lote mkuu.
Okuo hanga??
Damn ...
Unakujaga huku ...??
Leka tiki.....
nawewe ni leo? lace wig linakuhusu kwakweli. sema kingine, kope au?
ahaaaaa sana tu
Hivi ana hapi besdei mbili? Mbona tushakula cake yake escape????
na vilevile leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MTATA WA MJENGO Nyani Ngabu hongera honey
Geke ole my burazaUtomana kinehe??
happy birthday@preta
KakaKiiza ile ilikuwa ni SURPRISE!!! tu na hii ya leo ni yenyewe originale upo mwakwetu
na vilevile leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MTATA WA MJENGO Nyani Ngabu hongera honey