Happy Birthday Ivuga

Happy Birthday Ivuga

Happy birthday saintivuga.............party wapi? hata kwa ungo tutakuja!!
 
Last edited by a moderator:
HAPPY BIRTHDAY Bro😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:,leo b'day hapohapo naona kuna mgongano yupi ni yupi khaa we Saint Ivuga unataka sherehe iharibike tusije kula keki,hebu tuweke bayana wa ukwee ni nani wanajamvi tunakusubiria.

kila kitu kitawekwa wazi soon ngoja baba mkwe afikee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom