Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
oh! hilo tu umepata, just mention unataka kwenda wapi, bili kwangu. today is you special day, you deserve a treat!uanaombwa kutoka out
oh! hilo tu umepata, just mention unataka kwenda wapi, bili kwangu. today is you special day, you deserve a treat!uanaombwa kutoka out
oh! hilo tu umepata, just mention unataka kwenda wapi, bili kwangu. today is you special day, you deserve a treat!
Happy Birthday SI.
hapo bomba sana.............. Du, kumbe tumekutana, hakuna KUPE, ha haaaaaa............... itabidi sasa tufungue kituo cha kusaidia wahitaji soon tukitoka huko, unaonaje?turuke zetu internationally ...ticket za ndege is up to me..mambo ya bill sijui nini wala hata sio ya kuongelea mimi ni the don na wala sijisifii... unapaona hapo..angalia then nipe feed back
![]()
au hapa
![]()
hahahaaa...sasa sikiliza inabidi tuanze mchakamchaka kuanzia leo hadi ishike ama unasemajeee?
there ur! dats y i lv u. . . .
hapo bomba sana.............. Du, kumbe tumekutana, hakuna KUPE, ha haaaaaa............... itabidi sasa tufungue kituo cha kusaidia wahitaji soon tukitoka huko, unaonaje?
sema tunaibana, maana hata mimi unaniiba kwa wenyewe, ha haaaaaaaaaaaaaaaaasasa tunaondoka? fanya hiam si unajua kuwa unaniiba kwa wenyewe:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Happy Birthday Saint Ivuga
View attachment 55720
Naenda kuandaa Mahali pa kukatia Cake!
Happy Birthday to you Best!
All the best!
sema tunaibana, maana hata mimi unaniiba kwa wenyewe, ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
Yaani wewe unampa mwanamme mwenzio maua? Tena ya pink?
nioo uni hug
Majukumu kaka yametubana tunaingia kwa machale!i do appreciate .thankx a lot
halafu kijana mbona umepotea sanaa, ama mimi ndio nimepotea..
ha ha ha ....kwa vile huwa sichezagi bellow levelMajukumu kaka yametubana tunaingia kwa machale!
Naona kaka kale kamzizi kanafanya kazi vizuri kila mrembo anatishia usalama wa Mwali......! Bishanga atakutafuta
Lakini mmmh kuna ile CUTE na Fixed Point zingelikuwa embe dodo unakula na majani.....! kila la kheri Ivuga