Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Last edited by a moderator:
Heheheheeee Kaizer unamwita kijanja eeeh?Happi Birthday dude
Asee Saint Ivuga...kwani hii sherehe ina watu wangapi? Au I better as my dear niece Mwali kama kutakuwa na any show off katikati ya sherehe...is CUTE the new kid in town SI? If yes, mwambieni aje huku high table AshaDii ana neno la kumwambia.
As for Mwali you know what ur ankal craves for..
Hili li mtakatifu lina zali sana asee... naona tena kuna ka charminglady nako kanamnyemelea....khaa! Mwali kajipendekeza na salamu wakati CUTE na charminglady wanajilia tartiiiibuuuu! Khaaaa!!!
CUTE atakuja sasa hivi,..daahh ila meza yenu mbona imesheheni sana vitu vikali vikali...sema najua Mwali anakunywa juice tu..asante sana uncle kwa wishezzz... nam miss sana auntttHappi Birthday dude
Asee Saint Ivuga...kwani hii sherehe ina watu wangapi? Au I better as my dear niece Mwali kama kutakuwa na any show off katikati ya sherehe...is CUTE the new kid in town SI? If yes, mwambieni aje huku high table AshaDii ana neno la kumwambia.
As for Mwali you know what ur ankal craves for..
Happy Birthday Saint Ivuga
Here's hoping that your birthday will very quickly bring all you really do deserve, the best of everything.
Happy Birthday Saint Ivuga
View attachment 55720
Naenda kuandaa Mahali pa kukatia Cake!
Happy Birthday to you Best!
Hahahahahaaa Saint Ivuga nilijua tunanong'ona na Kaizer kumbe unaona lolErickb52 mkuu wangu unataka uuze bendi asubuhi hii yoteee
ur welcome hezbend Saint Ivuga
ha hah aa ok poa nikaushe kwanza ....Hahahahahaaa Saint Ivuga nilijua tunanong'ona na Kaizer kumbe unaona lol
Sasa na wewe mtoto mdogo umezaliwa leo mambo ya wakubwa unayajuaje?
Teh Kaka siunajua maua mazuri yapendeza?