View attachment 55695View attachment 55696View attachment 55697
haja wakatajii na wagawajii Mwali,afrodenz.charminglady
Here's hoping that
Your birthday
Will very quickly bring,
All you really do deserve –
The best of everything
.Happy Birthday
View attachment 55712
Hili li mtakatifu lina zali sana asee... naona tena kuna ka charminglady nako kanamnyemelea....khaa! Mwali kajipendekeza na salamu wakati CUTE na charminglady wanajilia tartiiiibuuuu! Khaaaa!!!Aspirin bana,hivi hujui CUTE na mwali walipinga nani atawahi kumkabizi mzee keki ya besdei.
Shhhhhhhhhhh sipaswi kulisema hili lakini sharti ilikuwa keki ikabiziwe bedroom......the rest.......
Happy Birthday Saint Ivuga.
Tunakutana wapi jioni? Ushongo au?
haahaaha hawa mabinti wameninyweshaje vinywaji jana usiku..
yaani ndio nimeamka nataka nimuulize mwenyekiti wa sherehe klorokwini..mimi leo ni mtoto
asante sana kwa ma wishez
Hili li mtakatifu lina zali sana asee... naona tena kuna ka charminglady nako kanamnyemelea....khaa! Mwali kajipendekeza na salamu wakati CUTE na charminglady wanajilia tartiiiibuuuu! Khaaaa!!!
Bishanga naona unampiga babu msumari..kumbe alinunua hadi kiwanja na watu wakachukua kiwanja wakatembea ..makubwa kweli haya ...tatizo la babu ana mbwembwe nyingiiiHili jamaa lina mzizi aisee,we fikiria jitihada zako zote kwa kongosho mpaka kumnunulia kiwanja mbagala charambe yaani mpaka leo hajakuruhusu hata nyonyo uguse!