CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hongera mzee
haya haya mashampein ndo hayo kazi kwenu waalikwa View attachment 55733
kura imekudondokea wewe ujue ama wenzako hawajakuambia?
yamekukuta ya kushindwa kuongea? ha haaaaaaaaaaa!Mwali asante sana
Hahahahaaaa nimepotezea....Ngoja nikakutafutie maziwa fresh chapha hah aa ok poa nikaushe kwanza ....
Hahahahaaa Fixed Point umeanza uchokozi eeehyamekukuta ya kushindwa kuongea? ha haaaaaaaaaaa!
Happy birthday to u
we acha tu Erickb52, mimi nawatakia kila la heri tu, waendelee hivi hiviHahahahaaa Fixed Point umeanza uchokozi eeeh
Umeona penzi la Mwali si mchezo eeeh
Mtoto kafa kaoza kwa Saint Ivuga hachomoki hapo Lol
Umeona eeeeh safi sana
Utaona mapenzi yanashamiri sana kama maua kando ya mto lol
ndio kinachotakiwa..................Umeona eeeeh safi sana
Utaona mapenzi yanashamiri sana kama maua kando ya mto lol
Ma lavidavi aka makopa kopa.............Dear Saint Ivuga,
Thinking of you in a particular way tonight
May you have a blessed day, full of love
May joy, happiness and cheering spirit
visit you today and for the year to come.
Tonight I wish you a very happy birthday,
May you get all that your hear desires.
Mwali
View attachment 55679
Ma lavidavi aka makopa kopa.............Dear Saint Ivuga,
Thinking of you in a particular way tonight
May you have a blessed day, full of love
May joy, happiness and cheering spirit
visit you today and for the year to come.
Tonight I wish you a very happy birthday,
May you get all that your hear desires.
Mwali
View attachment 55679
haya haya mashampein ndo hayo kazi kwenu waalikwa View attachment 55733
hujaniona tu jamani?charminglady njoo chemba huku nikun'gate sikio one time