Happy Birthday Ivuga

Happy Birthday Ivuga

haha kuna ndege inapita kubeba watu rubani ni klorokwini

Saint Ivuga hiyo ndege haitakiwi kupita kwenye anga ya nyumban kwetu maana mpaka sasa hatuna uhakika km zile wish zetu na mme wangu Rejao km zimefia au laa!tuliambatanisha na dolari elfu 5 kwa ajili ya vinywaji,mpaka ukitupatia taarifa za kupokea huo mzigo ndio hilo dege litaruhusiwa kupita anga hizi na sisi kuhuzuria huo mnuso hatutaki vibia vya kuonja ebo!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaa huyu klorokwini ni fundi sanaaa sijui mtamzuiaje ...zawadi mlimpa nani azilete jamani? ama mlimpa uncle Kaizer ? naona meza yake imejaa mavitu ya bei za ajabu ajabu pale ila sherehha inaaza soon ..ukumbi mzima umelipiwa kuanzia saa 2 hadi majogoo
 
Khaaaaa!ina maana huyo shemeji yangu Kaizer hajakukabidhi hayo madolari?kwan ndio m/kiti kamati ya vinywaji au?na kwann hayo makitu aweke kwenye meza yake pekee,mw
http://www.google.com
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom