Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

Hahahaahaaa DJ Khaled....hizo ndo swagga zake. Ila jamaa ana energy bana. And he is a good salesman too. Anajua sana ku promote album zake.
Halafu Rick Ross naye inabidi afanye mazoezi maana ile habari kupata seizures dah nikajua jamaa ndio karibia anaondoka jamaa alivyombishi nasikia kasema yuko fresh anaenda ku-perfom North Carolina
 
jamani mi nilichomoka nikaenda zangu club... hivi mnanikuta huku au ndio mmesha lala?
 
where is the after party? lol

At 7000 Brookside Parkway.

I got some cocktail shrimp, Tropical fantasy premium juice cocktail, there is plenty of apple martinis, a variety of wine coolers, there is a whole bucket of buffalo chicken wings....I mean...you name it....and I got it.

You coming over?
 
On 7000 Brookside Parkway.

I got some cocktail shrimp, Tropical fantasy premium juice cocktail, there is plenty of apple martinis, a variety of wine coolers, there is a whole bucket of buffalo chicken wings....I mean...you name it....and I got it.

You coming over?
Sure, I am just starting to have fun...
 
Huku Bangladeshi sasa hivi ndo inaingia tarehe 15 ya oktoba.
Hepi besdei today na mpaka uzeeke.

Nazani sasa tayari umefikia kaumri ka kuharibiwa maisha. Nitafute halaka.

Halaf pia Ujauzito bila husband wala boyfriend ni fashion siku hizi hapa mjini, wee zembea zembea tu.
 
Halaf kuna njemba imeiba aftershave yangu kwenye hii party, naomba ilejeshwe wakuu kabla hatujashushana busha usawa huu. ilikuwa kwenye mfuko wa nylon blue.
 
Vinywaji vimebakia juice za Sayona tu....

Asprin kaondoka na kreti la Serengeti
Bigirita kaondoka na kreti la Kilimanjaro
Kaizer kaondoka na kreti la Castle (Usimtetee)
RR kaondoka na kreti la Safari
Kivumah kaondoka na kreti la Tusker
Rocky kaondoka na kreti la Pilsner Ice
Sweetlady kaambaa na keki ya watu
Uporoto kaondoka na nyama
Kloro kaondoka na masufuria
King'asti kaingia amechelewa kwahiyo kulipizia yeye kaamua kubeba kreti la soda na kutokomea nalo
The Boss alikuwa anachangisha waliokuwa wanachelewa kufika katokomea na hela za watu

...mie hata sijui nilifikaje Home, nimejikuta asubuhi nipo kitandani.
Finest ntakurudishia Crate lako baadae. ngoja nkanywe Supu kwanza
 
...mie hata sijui nilifikaje Home, nimejikuta asubuhi nipo kitandani.
Finest ntakurudishia Crate lako baadae. ngoja nkanywe Supu kwanza

Sijui jana ilikuwaje... Kila ninae mpigia simu hajitambui.....lol
 
Vinywaji vimebakia juice za Sayona tu....

Asprin kaondoka na kreti la Serengeti
Bigirita kaondoka na kreti la Kilimanjaro
Kaizer kaondoka na kreti la Castle (Usimtetee)
RR kaondoka na kreti la Safari
Kivumah kaondoka na kreti la Tusker
Rocky kaondoka na kreti la Pilsner Ice
Sweetlady kaambaa na keki ya watu
Uporoto kaondoka na nyama
Kloro kaondoka na masufuria
King'asti kaingia amechelewa kwahiyo kulipizia yeye kaamua kubeba kreti la soda na kutokomea nalo
The Boss alikuwa anachangisha waliokuwa wanachelewa kufika katokomea na hela za watu

Duh! hii Kali.. salute!
 
aiseee, nimepigiwa simu kuna intake ya pili ilikuja kuniwish happy birthday. thank youuu sana. hamiss kishindindo popote ulipo nakutafuta. the boss uliulizia my age, mmmmmmmmh, mtoto aliyezaliwa jana hadi leo atakuwa na umri gani?( natumai hukukimbia hesabu za chekechea)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom