Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy Birthday Doctor @Asprin

Mpwa watu8, ukiona hivyo ujue kuna mtu katibiwa, kapona uzuuuri.

Hahahah!! hiyo tiba ndio yaitwa upako sio...

Hivi amu umemwona wapi?
amu hata sina hamu naye, ye kutwa nzima acheza kwa jirani huko mtaa wa saba

Ngoja nikuitie, we amuuuuuu waitwa na mpwa wangu huku uje upate upako hahahah!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah!! hiyo tiba ndio yaitwa upako sio...


amu hata sina hamu naye, ye kutwa nzima acheza kwa jirani huko mtaa wa saba

Ngoja nikuitie, we amuuuuuu waitwa na mpwa wangu huku uje upate upako hahahah!!!

Ngoja tumfanyie dawa kwa sheikh kipozeo...atakoma mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
ram, Eben-ezeri amekumisi mno!!!
 
Last edited by a moderator:
Daddy una habari kuwa nina :mimba:na mwezi wa 2 huu sasa ndo mana siji home
Babu na mpwa Asprin bin ODM hivi ulimpaka nini huyu bi mkubwa mbona akuita majina ya chumbani hivi?

Bai ze wei hii makitu irushie Eskepu Wani halafu hakikisha mamaaa Kongosho, muke ya ukubwani kwako BADILI TABIA na muke ya ujani cacico wanatia timu...
 
Yaani nipo nimejaa tele ndugu yangu, nakusubiri tu wewe na mikasa yako ya kila kukicha

Mbona ipo mingi tu sijaona footprints zako huko ndiyo maana!

usisahau kuniombea alafu sawaee...

eeer lete maneno weye.. come this way bana kwenye BD ya my hommie

Mkuu Kimey, salama lakini!?? Sijui ulikuwa umefichwa wapi wewe!!!
 
Last edited by a moderator:
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio wake.

TAMBUA KUWA

Kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna
Kuna wakati wa kusoma, kucheka na kulia
Na mara nyingi nyakati huwa hazijirudii hovyo
bali kila kusudio ulilopanga lipo kwa wakati wake


Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa
Kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni
Mara nyingi nyakati zipo kwa malengo fulani

Na kuna wakati wa kuona kiumbe kipya na
kukifurahia na kucheka nacho na kuna wakati
wa kulia wakati kikiondoka duniani. Mabestito
Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu
MZEE WA UPAKO DR Asprin
tarehe aliyotokea duniani kwa wakati wake maalum

Hivyo sina budi kumtakia kheri katika kumbukumbu hii
maalum yakuzaliwa kwake, Mungu ampe afya njema
aishi miaka mingi 100 ya utumishi wake wa kidaktari

Marafiki zangu mtakie ungana nami kumtakia heri best
wetu
Asprin

Warning: Mamods msimuvuzishe hii thread pls pls pls.

Wenu

Ladyf


Niko humbled bestoto... Thanks!!..... Kaburi nalichungulia live wallah!!

Duh, mkuu umekula chumvi mingi aisee....!!!!!!!!

Africa_old_man.JPG
Ohhh Mammmmmaaaa!!

kumbe hiki kibabu leo ni siku yake ya kuzaliwa


happy birthday Asprin

Amekua faraja kwa maumivu ya humu jf hasa maumivu ya kichwa.Long live aspirin
Amina mkuu wangu, pamoja sana mtanzania mwenzangu.

hb5.jpg


Hongera Asprin naona Mwanawane kakuandalia mambo mazuri.
Hii nikishushia na govinder Kumar mbona itakuwa mwake???

Happy Birthday Mkuu Asprin
Uwe na maisha mema yenye furaha na amani na ubarikiwe kuyaona mema kwako na kwa familia yako
Hongera sana mkuu japo wengine wanasema tusiseme hongera bali pole kwani kila inapofikia Birthday mpya ndo unasogea zaidi kwenye ulimwengu ule mpya
Happy Birthday once again mkuu
#
Halafu wewe Heaven on Earth unapotea sana bana toka uchukue lile ua rose langu hujanijibu kama umekubali au umekataa sasa ndo nini
Mkuu shukrani sana. Libarikiwe tumbo lililonizaa....

Happy birthday Asprin..
Mungu akupe maisha marefu

Happy Birthday Dakitari
Amina mtumishi wa Mungu.... Amina sana. Hebu twende PM tukaangalie namna ya kuweza kunaniliuana.:mimba::mimba:
 
Back
Top Bottom