Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy Birthday Doctor @Asprin

hyo title ya "Dr" ni ile ya kusoma/kutibu/kama ya Jk. Heri ya kuuona mwaka Asprin uishi kwa furaha daima
 
Last edited by a moderator:
Heri ya siku ya kuzaliwa kaka mkubwa...

funny-birthday-image.gif
 
muulize Dr. Asprin atakujibu yeye na sassa hivi yuko chumba cha mahtuti hapa mwimbili hivyo atakujibu wakati wa lunch maana namuona anavyokosea kosea kuchomeka sindano kwa mgonjwa hapa kisa eti biday yake leo halafu hana amu sana ya kuwaona mashabiki wake wa manchester humu mjengoni hususani wewe mwenyewe
hyo title ya "Dr" ni ile ya kusoma/kutibu/kama ya Jk. Heri ya kuuona mwaka Asprin uishi kwa furaha daima
 
Last edited by a moderator:

Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu
MZEE WA UPAKO DR Asprin

Babu na mpwa Asprin bin ODM hivi ulimpaka nini huyu bi mkubwa mbona akuita majina ya chumbani hivi?

Bai ze wei hii makitu irushie Eskepu Wani halafu hakikisha mamaaa Kongosho, muke ya ukubwani kwako BADILI TABIA na muke ya ujani cacico wanatia timu...
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Asprin

Ngoja nikaangalie kwenye nyota za majambozi kule uko kundi gani? Na je kundi hilo tunaendanaje? Maana hii ndoa yetu ya miaka alfu bila mahari siielewi, na wake wenza lukuki.
 
Last edited by a moderator:
Lazima niwepo, nshanunua 'cold pants', unazijua wewe hizo.
Nnakuja na keki pia.

Babu na mpwa Asprin bin ODM hivi ulimpaka nini huyu bi mkubwa mbona akuita majina ya chumbani hivi?

Bai ze wei hii makitu irushie Eskepu Wani halafu hakikisha mamaaa Kongosho, muke ya ukubwani kwako BADILI TABIA na muke ya ujani cacico wanatia timu...
 
Hongera sana na heri kwako Mkuu. Mungu azidi kukutumia kuponya waja wake Dr Asprin
 
Mungu akupe maisha marefu kaka mkubwa!!!!!
Uendelee kutuongoza wadogo zako kwa yale ya hapa jukwaani na yale ya kule jandoni!!!!!!

Much respect kaka Asprin, mungu akubariki sana!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom