KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Mtoto bado hajawowaaa.... ananyonya kwa mamaaa....
OMG cant belive ninachosoma......basi usiku mwema, naona macho yanakosa ushirikiano kabisaa
Mtoto bado hajawowaaa.... ananyonya kwa mamaaa....
OMG cant belive ninachosoma......basi usiku mwema, naona macho yanakosa ushirikiano kabisaa
Yaani G, nlikuwa nakusubiria wewe tu siku yangu iwe nzuri. Ahsante sana mpendwa.How did l miss this big bro. Happy belated birthday doc, na thanks mama kwa kukuleta salama duniani.
Mungu akupe miaka mingi zaidi ya kumtumkia kupitia taaluma, karama na ucheshi wako unaowapunguzia waja wake simanzis.
Happy birthday Asprin
Ngoja nikaangalie kwenye nyota za majambozi kule uko kundi gani? Na je kundi hilo tunaendanaje? Maana hii ndoa yetu ya miaka alfu bila mahari siielewi, na wake wenza lukuki.
mbe bestito ulikuwa wapi wewe nilikumiso sana?
Yaani G, nlikuwa nakusubiria wewe tu siku yangu iwe nzuri. Ahsante sana mpendwa.
Mungu aendelee kukubariki.
Ahsante
ODM.
Mambo yamekuwa mengi wangu, afu huku kwetu kuna watu wanajiita "watoto wa mbwa mwitu' wananifanya saa moja niwe home yaani ni balaa. Maternity nilienda kumpelekea file Asprin.
hahaha pole sana mkuu hivi huyu kamanda mpya hawezi kudeal nao tu? Ina maana nikipata kidate cha huko nisije?
HelooowHaya kalale ukue mtoto. Mi ndo nshatupa nepi kule kudadadeki. Thanx for your time.