Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy Birthday Doctor @Asprin

Hepi besdei Asprin.....ngoja niongee na wanausharika Mentor na KakaKiiza tukuletee ile kitu roho yako inapenda.:biggrin1:
Sijui lina miaka mingapi hili li bazazi Asprin maana mh Nimeamini hizi karatasi zinasaidia maana tungesha linywea bia na pila!!:dance:
Mkuu HappyBirthday!
[video=vimeo;33527237]http://vimeo.com/33527237[/video]
 
Last edited by a moderator:
Babu na mpwa Asprin bin ODM hivi ulimpaka nini huyu bi mkubwa mbona akuita majina ya chumbani hivi?

Bai ze wei hii makitu irushie Eskepu Wani halafu hakikisha mamaaa Kongosho, muke ya ukubwani kwako BADILI TABIA na muke ya ujani cacico wanatia timu...

Mpwa watu8, ukiona hivyo ujue kuna mtu katibiwa, kapona uzuuuri. Hivi amu umemwona wapi?
 
Last edited by a moderator:
muulize Dr. Asprin atakujibu yeye na sassa hivi yuko chumba cha mahtuti hapa mwimbili hivyo atakujibu wakati wa lunch maana namuona anavyokosea kosea kuchomeka sindano kwa mgonjwa hapa kisa eti biday yake leo halafu hana amu sana ya kuwaona mashabiki wake wa manchester humu mjengoni hususani wewe mwenyewe

hahahaha...nani anashabikia manure? labda hilo umuulize Mentor .
babu Asprin tafadhali tujue u Dr ni upi maana hadi majimarefu na JK nao ni Dr. hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom