Happy birthday bestito miss chagga

Happy birthday bestito miss chagga

Si unajua huku niliko ni tofauti na masaa ya afrika mashariki ndo nikadhani nimepatia kumbe nimeulaaa lakini hakijaharibika kitu bestito m-wish tu mwenzio

kwa saa za afria mashariki naona umewahi dakika kumi na mbili kabla ya tarehe tajwa...kwa kuwa hatuna kumbukumbu rasmi ya muda alozaliwa basi niungane nawe kumtakia miss chagga kila lililo heri!
 
Si unajua huku niliko ni tofauti na masaa ya afrika mashariki ndo nikadhani nimepatia kumbe nimeulaaa lakini hakijaharibika kitu bestito m-wish tu mwenzio
Mie nataka nikufate huko uliko bestito....!
..tena kama uko nchi za baridi ndio bomba zaidi, huku kwetu joto limezidi
 
ladyfurahia thank u sana your so lovely niwekee basi na maua ya rose plz
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu

Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka
ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu
bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014
anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma.
Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka
kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake.

Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani
nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema
Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu
mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga

Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze
ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako.

POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU

View attachment 207292

View attachment 207293

MREMBO MISS CHAGGA AKIFURAHIA SIKU YAKE
WAOOO CONGRATULATE BABY GIRL

KARIBUNI KUM-WISH MWENZETU MISS CHAGGA

amekata miaka ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa. Enjoy and make the most of it.
 
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014 anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma. Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake. Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako. POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU View attachment 207292
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday miss chagga na hongera sana kufikisha miaka kadhaa katika ulimwengu huu na Mungu akujalie maisha mengine marefu zaidi yenye furaha na amani yake

Mtani wangu miss chagga njoo nikuvishe nepi na bambino.....alafu nikubebe mgongoni na bebishoo.......
asante Mr Rocky nakuja
nakuja ila ufunge macho .. naomba hela
happy bday miss chagga
kumbe ndiyo maana unakuwa wa kwanza kulike na kukomment
kwa nini unasema hivyo wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa. Enjoy and make the most of it.

avatar19248_4.gif
thank u
 
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014 anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma. Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake. Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako. POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU View attachment 207292
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom