Happy birthday bestito Ben Mugashe

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Habarini wandugu

Leo ni siku ambayo haikutegemewa kuwepo machoni petu
Ni siku ambayo ni murua ni siku ambayo tunakumbuka
kipenzi chetu mwenzetu wa mjengoni hapa alitokea duniani
Ni siku ambayo tunamshukuru Mungu pamoja nae kwa
kutuletea kiumbe hapa duniani.

Na siku ambayo tunapongeza mamaye aliyemleta yeye Ben Mugashe
Mungu ampe ulinzi uko aliko.
kwani ni kazi kubwa aliyofanya kwa kufyatua mtoto huyu.

Ni siku iliyojaa furaha na nderemo kumuona member mwenzetu
akijawa na kicheko kwa kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake
Nasi kwa pamoja tuunganane na tumtakie heri na fanaka
kipenzi chetu Ben Mugashe kwa kutimiza wingi wa siku .

Nakutakia heri na afya njema na ukue uongezeke kimo
uwe mkubwa kama mm,

Happy Birthday Bestito Ben Mugashe pokea makande
yako haya ingawaje bado ni mchanga utakula tuuu
tunakukukuza zaidi
Na hii zawadi nispecial toka kwa Paloma na mm

makande.jpg


cc: Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Paloma, sister, Heaven on Earth, steven Robert Masaku, kemp, Elli, vivian, KOKUTONA, KakaKiiza, mwallu, Mentor, Erickb52, Mphamvu, Madame B, Chachu Ombara, Munkari, mshanaJr, muuza ubuyu, Maxence Melo, charminglady
na marafiki wote niliowasahau karibuni mumtakie heri mpendwa mwenzetu
 

Ben Mugashe

Verified Member
Oct 9, 2008
998
1,000
Wow.. Thanks Madam FirstLady....leo sina mengi ya kusema maana nimelemewa na Mabox ya zawadi..nikishayafungua ntashare nanyi...Mbarikiwe sana wandugu wa JF....
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Hongera sana sana, Dah timing nzuri kweli ya kuzaliwa, hebu ngoja nihesabu miezi tisa nyuma.....Be blessed ila Dah huyu Mpwa wangu kakusifia sana hadi napata mashaka. Hongereni wote. Nipo safarini kuelekea nyumbani
 

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
thanks bestito ila firstlady kuleeeeeeeeeee
hapa ni ladyfurahia babito usijali kwa hilo
ila bakuli lako la makande linakusubiria andaa tumbo kwa kula makaroni hayo
Wow.. Thanks Madam FirstLady....leo sina mengi ya kusema maana nimelemewa na Mabox ya zawadi..nikishayafungua ntashare nanyi...Mbarikiwe sana wandugu wa JF....
 

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
mmmhm! mpwa jamani mbona hivyo tena
wataka nimsifie nani tena zaidi ya ben? kwani siku yake leo ya kufurahi
ila tambua kuwa hapa yuko mume wangu muuza ubuyu
asijeona hapa mpwa ikawa balaa bure home patachimbika ujue!!
Hongera sana sana, Dah timing nzuri kweli ya kuzaliwa, hebu ngoja nihesabu miezi tisa nyuma.....Be blessed ila Dah huyu Mpwa wangu kakusifia sana hadi napata mashaka. Hongereni wote. Nipo safarini kuelekea nyumbani
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom