Happy birthday bestito miss chagga

Una matatizo wewe si bure ina maana ikifika siku yako ya kuzaliwa huwaga usherehekei?

Aiseeeeeeeeeeeeeee wewe ni nomaaa sana sorry km umeboreka
samahani kama nitakua 'radiko', lakini mimi si mfuasi wa ibada za siku ya kuzaliwa. Ni dhana za kubumba za nje na ambazo hazina maana kwetu.
 
Una matatizo wewe si bure ina maana ikifika siku yako ya kuzaliwa huwaga usherehekei?

Aiseeeeeeeeeeeeeee wewe ni nomaaa sana sorry km umeboreka

Kuwa na matatizo ni sifa ya kawaida tunayopewa sisi tuliothubutu kujitoa kwenye upuuzi ambao unaonekana una maana kwa wengi, hata kama kweli hauna hiyo maana.

Sina muda na hiyo siku, walau nina muda na msimu niliozaliwa. Msimu wa pili wa upandaji wa mazao huko Kaskazini kwetu.

Sijawahi kuwa na concern na hii makitu. Kuna mwaka nikiwa mdogo dada angu alikuja na stori za suprise ya birthday, siku ile Miungu ikaniondoa home bila sababu, niliondoka asubuhi na kurudi jioni sana.

Juzi ofisini bosi akaleta keki ya birthday kwa jina langu, nikashindwa kukataa kwa kuwa ningekwaza wengine ambao walikuwa na mzuka na hafla ile.

Bado niko Mwafrika!

Sijaboreka mama angu mlezi (kama unavyojiita).

cc: Mjomba Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Kama mtoto nimepata maana ...................? Pasua kichwa kabisa

sasa wewe tarehe yako ya kutolewa duniani kama kiumbe ilikuwa lini?
Niambie mwanangu mlezi. Maana umenificha kabisa na hutaki kuniambia
kuwa na matatizo ni sifa ya kawaida tunayopewa sisi tuliothubutu kujitoa kwenye upuuzi ambao unaonekana una maana kwa wengi, hata kama kweli hauna hiyo maana.

Sina muda na hiyo siku, walau nina muda na msimu niliozaliwa. Msimu wa pili wa upandaji wa mazao huko kaskazini kwetu.

Sijawahi kuwa na concern na hii makitu. Kuna mwaka nikiwa mdogo dada angu alikuja na stori za suprise ya birthday, siku ile miungu ikaniondoa home bila sababu, niliondoka asubuhi na kurudi jioni sana.

Juzi ofisini bosi akaleta keki ya birthday kwa jina langu, nikashindwa kukataa kwa kuwa ningekwaza wengine ambao walikuwa na mzuka na hafla ile.

Bado niko mwafrika!

Sijaboreka mama angu mlezi (kama unavyojiita).

Cc: Mjomba mtambuzi
 
Kama mtoto nimepata maana ...................? Pasua kichwa kabisa

sasa wewe tarehe yako ya kutolewa duniani kama kiumbe ilikuwa lini?
Niambie mwanangu mlezi. Maana umenificha kabisa na hutaki kuniambia
21 Septemba. Hujawahi kuniuliza hata hivyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom