sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,846
hiyo zawadi ya wallet sawa.....ila ya dudu mmmh nina mashaka kama ataikubali.....
Last edited by a moderator:
Mimi huwa simpendi huyo nani siju miss chagga sijui kwa nini
Swissme"
Opposite is the reality!! Wanaume akili mingi sanaMimi huwa simpendi huyo nani siju miss chagga sijui kwa nini
Swissme"
Bado yanki ametimiza 46 tushostito katimiza ngapi?
Kwani yeye hatumii?hiyo zawadi ya wallet sawa.....ila ya dudu mmmh nina mashaka kama ataikubali.....