KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Sifumbi macho....nataka nione huo utamu umezaliwa nao au umemodify....
Sifumbi macho....nataka nione huo utamu umezaliwa nao au umemodify....
kwasababu umezaliwa mwanzo wa mwezikwa nini unasema hivyo wewe?
kwasababu umezaliwa mwanzo wa mwezi
Happy birthday chagga Barbie. Mungu akupe maisha marefu yenye ukamilifu.
Nimezaliwa naoSifumbi macho....nataka nione huo utamu umezaliwa nao au umemodify....
Happy belated birthdate miss chaga
ila Dah na huu ubao ninaouhisi hapa...nilivyoona hiyo keki nilihisi kama inatoka kwenye screen hivi inaelekea mdomoni. Ngoja nikapate lunch aisee
Hata umkaribishi mtoto
Happybirthday to you miss chagga....usijaribu kunisahau kwenye hiyo keki bas
Mie nataka nikufate huko uliko bestito....!
..tena kama uko nchi za baridi ndio bomba zaidi, huku kwetu joto limezidi
Dah huu ubao umenisahaulisha mengi kwa kweli...halafu nilijua umeshashiba keki maana hiki ninachokula mimi sijui kama utakiweza....au umeshaota meno?. Hahahahaaa karibu tujumuike pamoja chibaby
YUKO HAPA HAPA
ANGALIA HII KITU
Join Date : 23rd March 2014
Location : Magomeni
Posts : 4,852
Rep Power : 1307
Likes Received2275
Likes Given16
Hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani utaliweza baridi la hku full barafu yamegandana kwenye paa za nyumba zetu tumo ndani tu kutoka nje ni nadra sana mpaka ipite helikopta ya gwamaji litubebe hpaa sasa sijui bestito kama utamudu wakaribishwa
...duh kumbe watu humu mnajuana hadi tarehe za kuzaliwa.......