Happy Birthday bestito Valentine mwaaa!

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Mwadila

Wakati unakwenda na majira yanakwenda, wiki na siku zimeptta na sasa ni masaa amabayo tunakumbuka
siku muhimu ya mpendwa mwenzetu valentine kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake leo.

Bila ajizi namtakia maisha marefu na afya njema kwa miaka mingi ijayo yaani afikishe kimo kikubwa sana
na awe juu kwa kila jambo, lolote atakalofanya baraka zishuke juu yake.

Sitamsahau mama yake kipenzi huko aliko naye apokee baraka kwa kutufyatulia katoto kachanga haaka
kavaleentine ambacho leo kanatimiza malongo kadhaa

Wapendwa wenzangu maraifiki zangu ni vyema tumtakie afya njema mpendwa mwenzetu huyu na tuwe pamoja naye leo kwa kusherekea pamoja nae sijui mama yake ametuandalia keki wapi tuje tukate keki kwa pamoja? ngoja niulize ratiba ikoje kwani yeye mwenyewe valee ni mchanga hajui ataishia kulia ngaaaaawa.

Kwa moyo wangu wa upendo nampa keki hii hapa ale kwa picha ahahahahahahahhaaaaa!


mini-s-wedding-cake-2285.jpg


keki.jpg
 
Asante sana bestito...

Mama kathema etii atakaekuja kwenye party aje na nyama kilo3 kila mtu na debe nne za mbege
 
Shamra shamra zinaendelea kule kwenye Group la passion kum wish na kujumuika pamoja ktk siku yake hii ya Leo @`valentina`
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom