KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
If so You are blessed......HAPPY BIRTHDAYNimezaliwa nao
If so You are blessed......HAPPY BIRTHDAYNimezaliwa nao
....mkuu we yako lini nikuanzishie Thread
Belated Happy Birthday dada yangu miss chagga...hope you had a blast!
Mke mwenza umedanganya... miss chagga likes given 16?? Mke mwenzangu huyu ana bidii sana ya kutoa like
If so You are blessed......HAPPY BIRTHDAY
asante msacha okoooMISS CHAGAA JIONI NAKUPITIA TUKALE KISUSIO,MTURA,MACHALARI NA MBE MBEGEE KWELI,STAMSAHAU MANKA,SHIRIMA,MUSHI,MASAWE,KILERUU,KIOSO NA MATLIDA.happy bday sister from another mother.
Happybirthday to you miss chagga....usijaribu kunisahau kwenye hiyo keki bas
Happy birthday miss chagga nikutakie mafanikio mema na afya njema ili uishi miaka mingi duniani.
...unaijua ni lini?bado ya kwako nitaipeperusha tu humu ndani sema suuuuuuuuuuuu
halafu wewe nakufananisha na mtu fulani sijui ndo wewe au macho yangu yamekuwa hovyo?
ladyfurahia thank u sana your so lovely niwekee basi na maua ya rose plz
Inaweza ikawa inaweza isiwe, ukifungua zaidi tunaweza jua ladyfurahia. Hebu banieleze baelewe mimi, unanifananisha na nani?
Nina zawadi yako Leo nzuri sn ila kwa sharti moja tu!
Nipe address kamili bestito, naja kukula joto...!
Snow hainitishi hata kidogo, ili mradi baridi isizidi -35 degree. Kama ni hivi vi snow vya kawaida walaaaa. Nakuja faragha bestito wangu...teeh
NA Invisible wa hapa