ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,463
Habarini wanajamvi.
Nyakati zinasonga sana , miaka inakimbia na miezi hata siku zinakaribia hii yote inaonesha kuwa tunasogea kwa hatua kukua kimo na kiakili Kwanini mabestio nasema hivi kwani leo ni siku special kwa laziizi wangu Mentor aliyekuwa nami wakati raha na shida pindi kile nilipokuwa yumkini Yeye alikuwa karibu yangu hasa wakati wa mabondeni na wakati milimani alikuwa pamoja nami.
Ingawaje uko mbali nami laaziz wangu Mentor acha nikupe neno hili moja Kuwa nakutakia Heri na fanaka na afya njema katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwao,basi marafiiki na wadau wote wa hapa njooni tumtakie heri kipenzi cheti mwenye bakshasha la utunzi wa mashairi yenye ukinzani si mwingine ni Bestito Mentor Mungu ampe maisha marefu akue katika kimo chote. na hekima iwe juu yake
Wasalaam Ladyf
pokea zawadi hii toka kwa ex-wife wako ladyf
cc: Mtambuzi, Paloma, KakaKiiza, MANI, miss chagga, sister, miss neddy, Munkar, Erickb52, LiverpoolFC, Arushaone, kabanga, mshanaJr, Excel, Preta, Mwanyasi, mwaJ, charminglady, Lady doctor, Passion Lady, watu8, measkron mumy, Miss Bantu na marafiki wengine kibao njoweni tum wish best yetu.