Happy birthday bestito miss chagga

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu

Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka
ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu
bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014
anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma.
Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka
kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake.

Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani
nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema
Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu
mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga


Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze
ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako.


POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU


CC.jpg


CEKI.jpg

MREMBO MISS CHAGGA AKIFURAHIA SIKU YAKE
WAOOO CONGRATULATE BABY GIRL

KARIBUNI KUM-WISH MWENZETU MISS CHAGGA


JAMANI MTOTO ANAPENDA ROSE FLOWER HIVYO MKKIJA LEO JIONI KWENYE FUNCTION
YETU ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA
J EMPOWERMENT CLUB MTULETEE


RRG.jpg

yafurike mengi yamzunguke kichanga magh/mash/kask na kusini pia
PLS MSISAHAU KUWAONA LIVE MA-DJ. WAKALI WA MAJI Kipaji Halisi pamoja na Mphamvu
wao watatoa show kali za kumwaga mpaka msahau kurudi makwenu.

Mshereheshaji wa MISIMAMO ni sister wa mapozi, akiambatana na sis Paloma (Akimsaidia)

Atakayebeba keki atakuwa baba yake mdogo KakaKiiza, akifuatiwa na Ben Mugashe,
Baba yake mwingine ambaye alikuwa akimuogesha ni MANI yeye atakuwa nyuma yao

Bila kumsahau Babu yake Mtambuzi kwa sasa hayuko mars yeye yuko jupiter anaosha....
Bila kumsahau tena mama zake wa ukweeeeee vivian, KOKUTONA na Fistlady 1 watakuwepo jioni ya leo; yule aliyepewa INVITATION CARD ndo anaruhusiwa kuwepo
pls pale getini atakuwepo guard wetu wa mipasho mshanaJr na mwenzake Elly79
KARIBUNI

Rose-flower.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom