Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni
Ziko nyingi sana kama sio mwoga
Ziko nyingi sana kama huna aibu
Ziko nyingi sana kama una ubavu
Ziko nyingi sana kana ww mtoto wa hapa
Zingine ni hizi,
Kuonyesha watu njia za kwenda sehemu fulani
Kufaulisha vyoo vya watu
Kuwa dalali wa vyumba/nyumba/mashamba/viwanja
Kuwa kuwadi
Kubeba watu mvua ikinyesha
Kupika majuku ktk vilabu vyetu vya mpira au ktk vyama mbalimbali
kuwa baunsa wa kukodishwa
Kuuza urembo au kukata watu kucha
Kunengua ktk bar mbali mbali
Kuwa mtoa nyeti halali
Kuwa mtu wa kati ktk biashara fulani
Hizi ndio baadhi ya dili ambazo polisi hawawezi kukukamata ovyo. Zile hatarishi sitaji.

KUNA UMBEA, HUO UNALIPA SANA.Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni
Kuna jamaa mtaani ni kuwadi namba moja huyo unaambiwa hakuna demu anayemkuwadia mtu akachomoa.... watoto wa shule, wafanya biashara, wake za watu makada wa vyama, ma bongo movies .. nasikia juzi kati kuna jamaa kamla mbunge mmoja wa viti maalumu kwa msaada wa jamaa ..na jamaa anaendesha prado rx utamtaka
ahaaa! unataka akukuwadie mama mwanaasha nini?hahahaha...naomba namba za huyo kuwadi!
#nuku Mjini hafukuzwi mtu .....