Una uhakika walizipenda sera za cuf na ccm kwasababu hawajawahi kuzisikia sera za chadema?
Ni bora ingekuwa ni ngome ya cuf peke yake,then from there hakuna shida,kama wapinzani wanaweza kufikiri namna ya kushirikiana,ila kama wananchi hao wa ukanda wa kusini wana hamu na mabadiliko watayafanya na kamwe hawawezi kulazimishiwa.
Wananchi wenye kujitenga kidini na kikabila wana matatizo mengi sana ambayo ndiyo kikwazo cha mabadiliko...Kama wameridhika huwezi kuwalazimisha,mabadiliko yataletwa na wenye nia.....kwenye dunia ya sasa yenye kujali demokrasia,basi hata ukiamua kuwa mjinga ni rukhsa!
Hata Mungu mwenyewe akishuka leo lazima kuna watakaompinga,lakini kupingwa haimaanishi kushindwa.
Pia mleta hoja inaonekana haonyeshi msingi wa hoja yake na wewe kwa kukurupuka ukaingia mtegoni na kuanza bla blah...Mleta hoja kadai wananchi hao wa kusini wanamwona Dr Kwneye luninga tu na sasa wanataka kumwona live!Sasa ina maana kuwa wameshamsikia na kumwona kwenye luninga akimwaga sera...Kumbe tatizo siyo kwamba hawajamsikia kama unavyotaka kupindua hoja na kutuaminisha upotofu wako....Bali wanataka kumwona live kama watu wa maeeo mengine.