hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!!

hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!!

Kweli ndugu yangu muda ni mfupi na hakuna dalili zozote..iwe ni matangazo au vinginevyo,so sijui itakuwaje tegemeo la rais asije huku..nahisi kuna hatari ya kutudharau endapo ataingia ikulu coz anaweza akajigamba kwamba nimeingia ikulu bila kwenda mikoa hii(sidhani coz Dk ni mwerevu) bt the point ni kwamba we are still in dark view abt him and chadema.

Ujumbe wameupata..............trust me............swali ni je....wataufanyia kazi?
 
Listen..kuchagua tutamchagua lakini ni haki yetu kumuona akipita huku..isitoshe nasie tuna vipaumbele vyetu na shida zetu flaniflani ambazo zinatakiwa zisikilizwe na mgombea Dk Slaa.


INAELEWEKA - HICHO NI KIBALI ALICHO NACHO DR. SLAA - AU KWA LUGHA NYINGINE - TUSEME ANA MVUTOOOOOO

Mie sina muda kuwasikiliza wagombea wa CCM pamoja na KIKWETE wao - watasema nini wakati ya 2005 niliyoyasikiliza hayajanyika hata moja??? badala yake wameongeza KERO juu ya KERO - imagine - VIJANA WALIVYOAHIDIWA AJIRA ...........WAKAANZA KUSUKUMA GARI LAKE ....................KUMBE................... UONGO MTUPU.........kuliko kuwasikiliza WAO AFADHALI KUMSIKILIZA SLAA NA WAGOMBEA WA CHADEMA - at least they are HOT!! HOT!!! HOT!!! - yaani WANATEMA CHECHE HASWA - NI TISHIO KWA KWELI - NA KAMA TUKIWAPA MIAKA MITANO TU!! - CHANGE IS FOR SURE

mchague Dr. Slaaa - MTU MWADILIFU, ASIYEPENDA UFISADI NA MWENYE UCHUNGU WA KUTAKA MAENDELEO YA NCHI YETU - TANZANIA.
 
Sikujua watu wangelinishambulia kwa ujumbe huu mfupi hapa chini.

Kwanza niseme kuwa Sikonge na CCM ni kama huko huko Mtwara na Lindi. Umasikini wetu ni sawa na Mtwara na Lindi.

Tofauti ni kuwa sisi Wanyamwezi ni Wachapa kazi sana ingawa matunda ndiyo huwa hayaonekani.

Kwa sababu hiyo, hata wilaya ya Sikonge, Dr. Slaa hatafika. Sasa nifanyeje mwenzenu? Nikonde kwa sababu hiyo?

Mwisho wa siku, nimetumia neno MAKONDE. Makonde na mie Mnyamwezi ni WATANI wakuu wangu. Ndiyo maana NILIJIRUHUSU kuwatukana vizuri tu watani zangu Wamakonde. Kama kuna Mmakonde kachukizwa kwa hilo basi namwambia M**** wewe.

Nafikiri Samahani yangu hapo juu itapokelewa kwa HESHIMA kabisa maana huwa naitoa kwa nadra sana.
Chukueni FILM ya hotuba za Slaa na muangalie.

Aje huko kupoteza muda na pesa? Huko malizazeni Waswahili wenyewe kwa wenyewe.

CUF na CCM mnapendeza sana Mtwara na LINDI. Makonde kwa ChiChieM ni kama Mguu Mchafu na Sindimba.
 
Back
Top Bottom