Handling finances in marriage.... advice

tuseme umemtegea...........🙄

...wala simshangai, maisha ya ndoa yamekuwa kama mchezo wa Draft au chess! ...one wrong move mwenzio anakula mpaka 'kingi!'
 
Wenye kuoa/kuolewa miaka hii mbona mna kazi kubwa?! Maana kila kitu siku hizi kinaeleweka - thanks to mitandao kama hii...watu wanaingia kwenye ndoa wakijua kila uongo, trick/mbinu/hila..huwezi kudanganya chochote.Kuanzia maswala ya rasilimali, hadi mambo flani.Ukifikiri wewe ni mjanja sana..utakuta mwenzio kakuzidi maarifa mara mia.Ukifikiri wewe unamlia timing..yeye utakuta keshamaliza zamaniiii.....kazi kweli kweli!
 
....... Dah.............. itabidi nikajifunze nami hii michezo loh! kumbe ina somo kubwa ndoani
 
Wenye kuoa/kuolewa miaka hii mbona mna kazi kubwa?! Maana kila kitu siku hizi kinaeleweka - thanks to mitandao kama hii...watu wanaingia kwenye ndoa wakijua kila uongo, trick/mbinu/hila..huwezi kudanganya chochote.Kuanzia maswala ya rasilimali, hadi mambo flani.Ukifikiri wewe ni mjanja sana..utakuta mwenzio kakuzidi maarifa mara mia.Ukifikiri wewe unamlia timing..yeye utakuta keshamaliza zamaniiii.....kazi kweli kweli!

...ha ha ha, we waache tu watusome na kunakili hata wakitaka kuprint! Wakumbuke, watayokumbana nayo kwenye ndoa zao yatakuwa mengine mapya!

...hayana formula mambo haya!
 
duh@ imekuwa hivyo tena eh...niko tayari kuandika manual yaani nikiingia hivi kwenye ndoa tayari kitabu ninacho...what to do and what not to do!!!! ahahahhaaaa.
 
Cut and paste kwenye ndoa.... haileti... kila mtu ni tofauti.
 
...ha ha ha, we waache tu watusome na kunakili hata wakitaka kuprint! Wakumbuke, watayokumbana nayo kwenye ndoa zao yatakuwa mengine mapya!

...hayana formula mambo haya!

Ndoa haina formula na mapenzi hayana formula.
Kila kukicha matatizo na new style zinaibuka
 
Wala usiogope ,ni heri ya huyo maana wengine wanafanya kinyume chake ,wewe ukipata pesa wekeza kwa jina lako ,na anapokuwa ktk wakati mgumu msaidie na anazokupa kwa matumizi tumia vizuri ,usimfanyie ufisadi,usiweke sheria ,mambo yanajipa yenyewe cha muhimu kuwa muangalifu as there is no one best way of solving problems!!
 
🙄
Wala usiogope ,ni heri ya huyo maana wengine wanafanya kinyume chake ,wewe ukipata pesa wekeza kwa jina lako ,na anapokuwa ktk wakati mgumu msaidie na anazokupa kwa matumizi tumia vizuri ,usimfanyie ufisadi,usiweke sheria ,mambo yanajipa yenyewe cha muhimu kuwa muangalifu as there is no one best way of solving problems!!
 
duh@ imekuwa hivyo tena eh...niko tayari kuandika manual yaani nikiingia hivi kwenye ndoa tayari kitabu ninacho...what to do and what not to do!!!! ahahahhaaaa.

...duuuuh! kwa maana hiyo 'akikuletea' za kuleta wewe mbio chumbani unafungua 'user manual' yako; ...page 103 unamnukuu WoS , page 217 Mwj'1, page 301 Fidel80... huh!

...siku utakuta ka 'user manual' kamechomwa moto ndio utatia akili! 😀
 
Hahah hiyo siku ya kunukulu dogo Fidel, imagine atakutana na 'solution' gani? just thinking loud hahahahaa
 
Hahahaha bro. atakutana na solution ya kujiexpress kama kawa.
 
Heeee aaaaaa jf bwanaaaa! kuna mambo...baada ya kunukuu hiyo solution mwenyewe taratibu anarudi kwenye line au sio.
 
Lakini sio siri, nimepitia michango ya watu humu kwa kweli nimependa sana ile ya cha mke, mke na cha mme mme. Kinachotakiwa hapa kwa maoni yangu mke achangie tuu pale mme anapompa nafasi hiyo na iwe ni kwenye vitu vya kawaida kama kununua chakula, kujitengeneza mwenyewe na kusaidia familia yake.
 
Heeee aaaaaa jf bwanaaaa! kuna mambo...baada ya kunukuu hiyo solution mwenyewe taratibu anarudi kwenye line au sio.

karibu dada Penny naona umepotea sana katika ulingo huu michango yako ile ya against kujiexpress ni muhimu sana tumwagie basi faida na hasara zake.
 
Nimekuja kustukia watu humu huwa wanapost matatizo yao ya kweli waliyonayo kwenye ndoa zao au mahusiano yao. Lol....

Msiniulize nimestukiaje lakini baadhi ya watu wana "issues" kweli kweli!!!!!!!!!!
 
C ndo maana tupo hapa ndugu. Wewe changi tuu, tena ngoja nichangie na mimi unipe hoja yako...stand by.
 
Jamani nimesoma issue humu very well and clearly. Sasa kwa sisi wengine tuliongia kwenye ndoa kama ma house wife kutoka na mazingira kutokutuwezesha kupata kazi kwa haraka alafu mwenzio hakuonyeshi matumizi ya pesa zinakwendaje, hujui bank account yake, msaada kwa ajili ya matumizi yangu ni hafifu mpaka naenda kutafuta njee etc...je, na mimi nikijapata kazi nimuhandle vipi jamani.
 
karibu dada Penny naona umepotea sana katika ulingo huu michango yako ile ya against kujiexpress ni muhimu sana tumwagie basi faida na hasara zake.
Kwa kweli dear am against kujiexpress but kutokana na nukuhu zako ndo nikamwambia may be it can help to return the man in line again.
 
Nimekuja kustukia watu humu huwa wanapost matatizo yao ya kweli waliyonayo kwenye ndoa zao au mahusiano yao. Lol....

Msiniulize nimestukiaje lakini baadhi ya watu wana "issues" kweli kweli!!!!!!!!!!
That is why we are here my shem in the consellors room (Jamii Forum aka JF) kupata utabibu.
 
Back
Top Bottom