Handling finances in marriage.... advice

Handling finances in marriage.... advice

Hahahaha bro. atakutana na solution ya kujiexpress kama kawa.


hahaha, sasa sijui wataiapply ama vipi ndo kasheshe, lakini si nasikia 'mgonjwa hachagui dawa'...eti mkuu Mbu
 
Umeanza Komredi mke wa mtu huyo oooh kesi hizo.

Mume wake hamthamini....anahitaji ushauri na comforting...I'm here for women like them. You know me comrade, I give objective advice from a man's perpective and I keep it 100.
 
Mume wake hamthamini....anahitaji ushauri na comforting...I'm here for women like them. You know me comrade, I give objective advice from a man's perpective and I keep it 100.

Ok don't use alternative solution.
Mpe tu normal comfort
 
Ok don't use alternative solution.
Mpe tu normal comfort

Solutions zangu sio zile za one size fits all. I evaluate each person on a case by case basis based on their general and unique circumstances
 
Au nipe basi wewe mualiko nije unipe hiyo comfortation...but sio Tigolization.

Ngoja nimwachie Komredi amalize kisha mimi nitagusa gusa Tigolization sio kwa kila mtu ina watu wake.
 
Kheee...ina maana hutaki tena comforting toka kwangu? You know komredi has his hands full....
Hapana hapana sio hivyo...si unajua tena watu wengine wanga humu, hawapendi kuona watu wakipata kujuana na kufahamiana.
 
Safi sanaa wewe ndo Kidume ati, tena mwenye heshima mbele ya Mungu na jamii kwa ujumla, keep the motto up my dear.

What a lady! They don't make anymore of your kind. Your man doesn't know what he got til it's gone.
 
Problem yako ndugu too much of Tigolization...tunaogopa wengine bado hatujazaa bado.

hehehehe usiogope mama Tigolization ni makubaliano tu haya basi nenda kwa Komredi naona kachekela sana.
 
Zama hizi nani anabelieve in marriage anymore? I don't.
 
Man I love these guys...they be dropping a lot wisdom lately...

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=vki-IV9NzP8"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Please naomba ushauri haswa kutoka kwa wale walio kwenye ndoa. How do u deal with finances kama nyote mna mapato...inakuwaje ndio musiingize migogoro coz of money issues??? u know wansema money is the root of all evil sijui kama kweli au la! I will appreciate alot!!!

...ili kulinda ndoa yako, dawa ni kutokuwa mkweli 100%. Iwapo Spouse wako anajua ndururu zote zinazoingia kwenye account ina maana uwe mkweli vile vile kumwambia kiasi gani huwa unawasaidia wadogo zako ada na pesa za shule hata kama mkeo hapendi!

Mpangiane kiwango cha 'kuweka pesa mezani'. Nyumba bila bajeti (i.e kodi, chakula, luku, maji, watoto) na mipango ya maendeleo (ujenzi, usafiri, nk) itayumba tu. Muhimu kuwekana sawa mapato na matumizi yenu ya lazima. Vilevile muwe na mfuko wa dharura. kitachozidi halali yenu kila mmoja kuji treat mwenyewe japo kwa 'peremende ya kijiti'
 
Back
Top Bottom