Handling finances in marriage.... advice

...ili kulinda ndoa yako, dawa ni kutokuwa mkweli 100%. Iwapo Spouse wako anajua ndururu zote zinazoingia kwenye account ina maana uwe mkweli vile vile kumwambia kiasi gani huwa unawasaidia wadogo zako ada na pesa za shule hata kama mkeo hapendi!

Mpangiane kiwango cha 'kuweka pesa mezani'. Nyumba bila bajeti (i.e kodi, chakula, luku, maji, watoto) na mipango ya maendeleo (ujenzi, usafiri, nk) itayumba tu. Muhimu kuwekana sawa mapato na matumizi yenu ya lazima. Vilevile muwe na mfuko wa dharura. kitachozidi halali yenu kila mmoja kuji treat mwenyewe japo kwa 'peremende ya kijiti'

Lollipop angalau!!🙂
 
mkuu kwani is that meant to be a secret? nilidhani ndugu pande zote wanasaidiwa kulingana na uwezo kwa uwazi tu? hehehe
 
...🙂 ndio maana nikasema...;

...ili kulinda ndoa yako, dawa ni kutokuwa mkweli 100%.

Iwapo Spouse wako anajua ndururu zote zinazoingia kwenye account ina maana uwe mkweli vile vile kumwambia kiasi gani huwa unawasaidia wadogo zako ada na pesa za shule hata kama mkeo hapendi!

...bro, kuna wanawake wengine wakijua unawalipia ada wadogo zako wanaleta ushindani na wadogo zake uwalipie, kama uwezo ni mdogo atanuna huyoo...!
 
mkuu kwani is that meant to be a secret? nilidhani ndugu pande zote wanasaidiwa kulingana na uwezo kwa uwazi tu? hehehe

sidhani kusaidia ndugu infaa kuwa secret kama mumekubaliana beforehand...hivi mkikataa kuwainua watakuwa burden kwenu tu... kisiri siri inaanza kama hamtokaa kukubaliana nani wa kusaidiwa na vipi atasaidiwa. prosperty for all jamani!
 
exactly Shishi....icho ndo nikimaanisha na kushangaa, ama hapa nikuunge mkono kama sio nanihii kabisa,,, hizi siri siri hizi sidhani kama ni nzuri sana kwenye ndoa!

ndo ujifunze ivo sio inafika Disemba unatuabisha wana JF hapa kuna shule ya uhakika....LOL
 
...mnhh, yangu macho... tutaona huo uaminifu na kusema ukweli 100% utadumu miezi mingapi...

Yaani payslips zako zote, mobile fone bills na bank accounts ruksa 'zifanyiwe' auditing? haaaya!
 
exactly Shishi....icho ndo nikimaanisha na kushangaa, ama hapa nikuunge mkono kama sio nanihii kabisa,,, hizi siri siri hizi sidhani kama ni nzuri sana kwenye ndoa!

ndo ujifunze ivo sio inafika Disemba unatuabisha wana JF hapa kuna shule ya uhakika....LOL

nakwambia hapa tiari nina 1st draft ya ile manual.ref mtrl namba1. Hata naniihi pia poa. Huyo mr. Yumo mashakani!
 
Poa, vipi yale mambo yetu yale umepitia manake vinaenda pamoja...Nanihii ndo yenyewe! heheh am counting days za biriani tu,,

Mbu mkuu tutakuwa na net....iliyotiwa dawa kabisa hehehe😀
 
mmmnh hayo mambo ni yepi tena.hebu nipe shule nisije nikaingia uwanjani nikiwa half baked. Hiyo ya neti yenye pawatab sipo mie ngoja muhusika ajitetee.
 
It is dangerous to be sincere unless you are also stupid - George Bernard Shaw
 
“The only guide to man is his conscience; the only shield to his memory is the rectitude and sincerity of his actions. It is very imprudent to walk through life without this shield, because we are so often mocked by the failure of our hopes and the upsetting of our calculations; but with this shield, however the fates may play, we march always in the ranks of honor.”

Winston Churchill quotes (British Orator, Author and Prime Minister during World War II. 1874-1965)
 
Poa, vipi yale mambo yetu yale umepitia manake vinaenda pamoja...Nanihii ndo yenyewe! heheh am counting days za biriani tu,,

Mbu mkuu tutakuwa na net....iliyotiwa dawa kabisa hehehe😀

...😀😀😀 hujaona mbu wakifungua chandarua wewe, umezoea wale wanao '...buz z z z z z z z z z z z z....' sikio la magharibi, ukijipindua tu walioko mashariki 'wanakula!'
 
It is dangerous to be sincere unless you are also stupid - George Bernard Shaw

“The only guide to man is his conscience; the only shield to his memory is the rectitude and sincerity of his actions. It is very imprudent to walk through life without this shield, because we are so often mocked by the failure of our hopes and the upsetting of our calculations; but with this shield, however the fates may play, we march always in the ranks of honor.”

Winston Churchill quotes (British Orator, Author and Prime Minister during World War II. 1874-1965)

"Always be sincere, even if you don't mean it." Harry S. Truman
 
Hahaha kazi kwenu mliooa. Ila inategemea na huyo uliyemuoa maana wengine hawakawii kukupiga Checkmate ya nguvu.

**August 29th kuna watu watatoa/pata talaka ha haaaa hahaaa.
 
...😀😀😀 hujaona mbu wakifungua chandarua wewe, umezoea wale wanao '...buz z z z z z z z z z z z z....' sikio la magharibi, ukijipindua tu walioko mashariki 'wanakula!'

Hawa watakuwa mbu 'walioshindikana' na dawa yao ni DDT tu!😀😀😀
 
Kwani tigO ina matatizo gani? Mbona mimi nina mitandao miwili mmoja wa tigO! Au mna maana gani hapo wajameni

...hapana mkuu, hakuna maana nyingine tofauti. Inategemea Network tu, ipi ina nguvu zaidi 🙁
 
ahahahahahahhaha. muulize Fidel maana yake!! sio mambo ya simu hapa! duhhhhhhhhhhhhh!
 
...hapana mkuu, hakuna maana nyingine tofauti. Inategemea Network tu, ipi ina nguvu zaidi 🙁

mmmm wewe Mbu ....mmmmmnh! ati ipi yenye nguvu zaidi??🙄
 
Back
Top Bottom